Kama mpaka sasa hawajaiteka "Kyiv", basi ni wazi Jeshi la Russia halina nguvu kama inavyodaiwa

Vita ya siku sita 'The Six Days War" Israel alipigan peke yake,hakukua na msaada wa NATO.
 
Salary slip njoo utupe mrejesho wa hali ya vita hapo Kiev maana umejitahidi kupotosha mwisho umeamua kukaa kimya. Baada ya operation hiyo mjini Kiev zitaokotwa maiti nyingi za wa ukraine
Nikadhani Kiev imeshatwaliwa na vita imekwisha,kumbe bado mnaleta porojo zenu tangu majuzi
 
Vita ya siku sita 'The Six Days War" Israel alipigan peke yake,hakukua na msaada wa NATO.
Kuwa na akkli basi hata kidogo. Israel yeye anapiga tu kila kitu kilichopo mbele yake. Mrusi ktk hii vita ana malengo maalum na vita ni akili, kinachotakiwa the end of the day huwe umetimkza malengo yako 100%
 
Hamana lolote zaidi ya makelele. Situation on ground imewawia vigumu na sasa kiburi kimeshuka mpaka kukaa chini kuzungumza na mlioamini ni mnyonge wenu kumbe mlikuwa mnajidanganya.
Walianza na porojo za "hii ni special operation ya masaa 24 tu" hali ilivyokuwa ngumu wakaanza kuleta vijisababu vya kurefer US ilichukua muda gani kuitwaa Baghdad lakini hawasemi kama US alikuwa anapigana maelfu ya kms away from Home,sasa huyu Russia anaepigana tu na jirani yake kamshindwa ndani ya huo muda waliokuwa wanatupigia nao makelele hapa.Aibu kubwa sana hii,Super Power wao kijeshi anaburuzwa na Ki Nchi kidogo hadi anakimbilia kutishia kutumia Nukes utadhani yeye hatoathirika,na hivi ni majirani pua na mdomo.
 
Kuwa na akkli basi hata kidogo. Israel yeye anapiga tu kila kitu kilichopo mbele yake. Mrusi ktk hii vita ana malengo maalum na vita ni akili, kinachogakiwa the end of the day huwe umetimkza malengo yako 100%
Ukiwa unanijibu,uwe unatumia maneno ya staha,huwa sina kawaida ya kuendekeza maneno ya kejeli,back to the point,wewe umeuliza ni Vita gani Israel alipigana bila msaada wa NATO? Ninakujibu unaishia kuwa makali tena,JF siku hizi imevamiwa aisee 🙂
 
Sasa israel kupigana na palestina nchi ambayo haina jesi nayo unaiita ni vita?
 
Unadhani ingekuwa vita serious mpaka leo wangekufa raia 300+ kwenye nchi yenye watu 40m+
Bomu moja la tsar linaweza sambaratisha hiyo Kiev yote achana na Satan 2
 
Sasa israel kupigana na palestina nchi ambayo haina jesi nayo unaiita ni vita?
Dah 😂 hivi unaijua Vita ya Siku Sita iliyopiganwa na Israel kweli wewe? Hebu tumia msaada kidogo tu wa Google ujipatie maarifa ya bure Mkuu,niseme tu unahitaji kulielewa jambo vizuri kabla hujacomment.
 
Sasa israel kupigana na palestina nchi ambayo haina jesi nayo unaiita ni vita?
kwa msaada zaidi google "THE SIX-DAYS WAR " ilipiganwa kuanzia Jun 5 to June 10 1967. Pata maarifa zaidi ndugu yangu hapo.
 
Unadhani ingekuwa vita serious mpaka leo wangekufa raia 300+ kwenye nchi yenye watu 40m+
Bomu moja la tsar linaweza sambaratisha hiyo Kiev yote achana na Satan 2
Hizi ni porojo tushazizoea,tangu kabla ya vita hadi leo hii,mmebaki kuleta mbwembwe za majina ya silaha tu hapa
 
Dah 😂 hivi unaijua Vita ya Siku Sita iliyopiganwa na Israel kweli wewe? Hebu tumia msaada kidogo tu wa Google ujipatie maarifa ya bure Mkuu,niseme tu unahitaji kulielewa jambo vizuri kabla hujacomment.
Ndivyo ulivyoaminishwa Israel alipigana hiyo vita peke yake? Pole sana
 
kwa msaada zaidi google "THE SIX-DAYS WAR " ilipiganwa kuanzia Jun 5 to June 10 1967. Pata maarifa zaidi ndugu yangu hapo.
Huko google information zinaingizwa na watu tu kama wewe. Kuwa na akili
 
Huko google information zinaingizwa na watu tu kama wewe. Kuwa na akili
sawa mkuu wewe mwenye akili nyingi,basi tumia basi hizo akili walau kusoma hata kitabu cha "The Six Days War'" kama una hata huo utaratibu wa kujisomea vitabu 😀
 
Unadhani ingekuwa vita serious mpaka leo wangekufa raia 300+ kwenye nchi yenye watu 40m+
Bomu moja la tsar linaweza sambaratisha hiyo Kiev yote achana na Satan 2
Kama sio vita ,hapo mstari wa mbele wanajeshi wa Russia wanapakwa powder au wanauawa?

Pili vita ina kanuni,ukipiga hovyo maeneo ya raia badala ya ku target wanajeshi ujue kwamba The Hague inakuhusu.

Kwa hiyo Russia kashindwa ndio maana kaomba msaada wa vikosi vyenye uzoefu wa vita kutoka Belarus.Nchi zingine kama Kazakhstan zimekataa.
 
wanachekesha sana wanavyopindua maneno kila situation inavyobadilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…