TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,079
- 3,367
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2134728
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa huu msafara kyiev kwa heri,Msafari wa magari 64km unaelekea kiev tuendeee kuwa watulivu
Vita ya siku sita 'The Six Days War" Israel alipigan peke yake,hakukua na msaada wa NATO.🤣🤣🤣 Du! Watu tumeaminishwa ujinga kweli kwamba mwizrael hawezekani. Ni kwasababu ya kupigana na palestina mara kwa mara? Kuna vina gani kubwa Israel alipigana peke yake bila kusaidiwa na NATO??
Kwani huko urusi hakuna wa Israel kama walivyo Ukraine?
Nikadhani Kiev imeshatwaliwa na vita imekwisha,kumbe bado mnaleta porojo zenu tangu majuziSalary slip njoo utupe mrejesho wa hali ya vita hapo Kiev maana umejitahidi kupotosha mwisho umeamua kukaa kimya. Baada ya operation hiyo mjini Kiev zitaokotwa maiti nyingi za wa ukraine
Kuwa na akkli basi hata kidogo. Israel yeye anapiga tu kila kitu kilichopo mbele yake. Mrusi ktk hii vita ana malengo maalum na vita ni akili, kinachotakiwa the end of the day huwe umetimkza malengo yako 100%Vita ya siku sita 'The Six Days War" Israel alipigan peke yake,hakukua na msaada wa NATO.
Walianza na porojo za "hii ni special operation ya masaa 24 tu" hali ilivyokuwa ngumu wakaanza kuleta vijisababu vya kurefer US ilichukua muda gani kuitwaa Baghdad lakini hawasemi kama US alikuwa anapigana maelfu ya kms away from Home,sasa huyu Russia anaepigana tu na jirani yake kamshindwa ndani ya huo muda waliokuwa wanatupigia nao makelele hapa.Aibu kubwa sana hii,Super Power wao kijeshi anaburuzwa na Ki Nchi kidogo hadi anakimbilia kutishia kutumia Nukes utadhani yeye hatoathirika,na hivi ni majirani pua na mdomo.Hamana lolote zaidi ya makelele. Situation on ground imewawia vigumu na sasa kiburi kimeshuka mpaka kukaa chini kuzungumza na mlioamini ni mnyonge wenu kumbe mlikuwa mnajidanganya.
Ukiwa unanijibu,uwe unatumia maneno ya staha,huwa sina kawaida ya kuendekeza maneno ya kejeli,back to the point,wewe umeuliza ni Vita gani Israel alipigana bila msaada wa NATO? Ninakujibu unaishia kuwa makali tena,JF siku hizi imevamiwa aisee 🙂Kuwa na akkli basi hata kidogo. Israel yeye anapiga tu kila kitu kilichopo mbele yake. Mrusi ktk hii vita ana malengo maalum na vita ni akili, kinachogakiwa the end of the day huwe umetimkza malengo yako 100%
Sasa israel kupigana na palestina nchi ambayo haina jesi nayo unaiita ni vita?Ukiwa unanijibu,uwe unatumia maneno ya staha,huwa sina kawaida ya kuendekeza maneno ya kejeli,back to the point,wewe umeuliza ni Vita gani Israel alipigana bila msaada wa NATO? Ninakujibu unaishia kuwa makali tena,JF siku hizi imevamiwa aisee 🙂
Unadhani ingekuwa vita serious mpaka leo wangekufa raia 300+ kwenye nchi yenye watu 40m+Walianza na porojo za "hii ni special operation ya masaa 24 tu" hali ilivyokuwa ngumu wakaanza kuleta vijisababu vya kurefer US ilichukua muda gani kuitwaa Baghdad lakini hawasemi kama US alikuwa anapigana maelfu ya kms away from Home,sasa huyu Russia anaepigana tu na jirani yake kamshindwa ndani ya huo muda waliokuwa wanatupigia nao makelele hapa.Aibu kubwa sana hii,Super Power wao kijeshi anaburuzwa na Ki Nchi kidogo hadi anakimbilia kutishia kutumia Nukes utadhani yeye hatoathirika,na hivi ni majirani pua na mdomo.
Dah 😂 hivi unaijua Vita ya Siku Sita iliyopiganwa na Israel kweli wewe? Hebu tumia msaada kidogo tu wa Google ujipatie maarifa ya bure Mkuu,niseme tu unahitaji kulielewa jambo vizuri kabla hujacomment.Sasa israel kupigana na palestina nchi ambayo haina jesi nayo unaiita ni vita?
kwa msaada zaidi google "THE SIX-DAYS WAR " ilipiganwa kuanzia Jun 5 to June 10 1967. Pata maarifa zaidi ndugu yangu hapo.Sasa israel kupigana na palestina nchi ambayo haina jesi nayo unaiita ni vita?
Hizi ni porojo tushazizoea,tangu kabla ya vita hadi leo hii,mmebaki kuleta mbwembwe za majina ya silaha tu hapaUnadhani ingekuwa vita serious mpaka leo wangekufa raia 300+ kwenye nchi yenye watu 40m+
Bomu moja la tsar linaweza sambaratisha hiyo Kiev yote achana na Satan 2
Ndivyo ulivyoaminishwa Israel alipigana hiyo vita peke yake? Pole sanaDah 😂 hivi unaijua Vita ya Siku Sita iliyopiganwa na Israel kweli wewe? Hebu tumia msaada kidogo tu wa Google ujipatie maarifa ya bure Mkuu,niseme tu unahitaji kulielewa jambo vizuri kabla hujacomment.
Huko google information zinaingizwa na watu tu kama wewe. Kuwa na akilikwa msaada zaidi google "THE SIX-DAYS WAR " ilipiganwa kuanzia Jun 5 to June 10 1967. Pata maarifa zaidi ndugu yangu hapo.
Huna ulijualo katika hili,naomba tuishie hapa Mkuu.Ndivyo ulivyoaminishwa Israel alipigana hiyo vita peke yake? Pole sana
sawa mkuu wewe mwenye akili nyingi,basi tumia basi hizo akili walau kusoma hata kitabu cha "The Six Days War'" kama una hata huo utaratibu wa kujisomea vitabu 😀Huko google information zinaingizwa na watu tu kama wewe. Kuwa na akili
Kama sio vita ,hapo mstari wa mbele wanajeshi wa Russia wanapakwa powder au wanauawa?Unadhani ingekuwa vita serious mpaka leo wangekufa raia 300+ kwenye nchi yenye watu 40m+
Bomu moja la tsar linaweza sambaratisha hiyo Kiev yote achana na Satan 2
wanachekesha sana wanavyopindua maneno kila situation inavyobadilikaKama sio vita ,hapo mstari wa mbele wanajeshi wa Russia wanapakwa powder au wanauawa?
Pili vita ina kanuni,ukipiga hovyo maeneo ya raia badala ya ku target wanajeshi ujue kwamba The Hague inakuhusu.
Kwa hiyo Russia kashindwa ndio maana kaomba msaada wa vikosi vyenye uzoefu wa vita kutoka Belarus.Nchi zingine kama Kazakhstan zimekataa.