Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
- Thread starter
-
- #21
Sasa ndio mtawwza kupambana na NATO na kuwashinda?Yale majeshi imara duniani ya Marekani + NATO (muungano wa nchi kibao) yalichukua masaa mangapi kuiteka Baghdadi?
Kwa kukusaidia tu pamoja na wingi wao (US+NATO) na bajeti zao kubwa ktk mambo ya silaha, iliwachukua siku 7 kuiteka Baghdad.
Ikawachukua mwezi 1, wiki 1 na siku 4 kuiteka Iraq yote.
View attachment 2131503View attachment 2131504
Nimegundua bongo tuna wataalamu wengi sana katika masuala ya kivita😆Watu humu mnavyolumbana mtafikiri mpo uwanja wa vita..😂
naam nato yenyewe tu haina uwezo wa kufight hata na talbanSasa ndio mtawwza kupambana na NATO na kuwashinda?
Marekani iliingia Baghdad baada ya miezi mingapi ya mapambano?
NATO mngewaweza?Hili dude lilikuwa chini ya ukraini lakini muda huu limetekwa na urusi
View attachment 2131506
Hamna cha wataalamu ni impact ya mass unemployment nchini pia na kua na semi literate rate kubwa ya vijana na watu wazima........Nimegundua bongo tuna wataalamu wengi sana katika masuala ya kivita[emoji38]
Tulia hii ni Vita sio Kama kupiga mabomu kuwatawanya wafuasi wa TLPKama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.
Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia mpaka muda huu mji mkuu wa Ukraine uwe chini ya Majeshi ya Russia lakini mpaka sasa bado.
Soon tutaanza kusikia madai kuwa Jeshi la Ukraine linapata support kutoka kwa wamarekani na washiriki wake.
Ama kweli actions speak louder than words.
Majeshi ya US+NATO walichukua masaa mangapi kuichukua Baghdad ya Iraq?Sasa ndio mtawwza kupambana na NATO na kuwashinda?
Ni kweli Nguvu ya jeshi la Russia bado haijaonekana, labda waje na maelezo yanayoelewekaHuo ndio ukweli. Kwa mikwara yenu, mpaka muda huu mngekuwa mmeshaiteka Kyiv, ila mpaka sasa mmeshindwa na ni wazi ingekuwa ni nchi kama Ujeruman au France, mngekuwa bado mpkani na hapa ndio najiuliza uwapi uwezo wa nyinyi kupambana na Majeshi ya NATO kama mnavyojisifu.
Watakuja na propaganda na wala si maelezo ya kueleweka.Ni kweli Nguvu ya jeshi la Russia bado haijaonekana, labda waje na maelezo yanayoeleweka
Toka juzi walisema wamebakiza kilometa 10,kuuteka mji ila mpk sasa bado.Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.
Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia mpaka muda huu mji mkuu wa Ukraine uwe chini ya Majeshi ya Russia lakini mpaka sasa bado.
Soon tutaanza kusikia madai kuwa Jeshi la Ukraine linapata support kutoka kwa wamarekani na washiriki wake.
Ama kweli actions speak louder than words.
Njia ya muongo ni fupi.Toka juzi walisema wamebakiza kilometa 10,kuuteka mji ila mpk sasa bado.
Itakua kuna watu wanalifanyia analysis jeshi la Urusi kupitia hili jambo, kujua kama lina nguvu inayosemwa au lah
Sasa Muiraq nguvu zake unamlinganisha na ukraine?Irag walikua njema sanaMajeshi ya US+NATO walichukua masaa mangapi kuichukua Baghdad ya Iraq?
Tangu jana/juzu mko kilomita 10 kufika kyiv na bado hamfiki?Black America unatapa tapa Sana
Mimi niko tandahimba brother huko Kiev nimeenda kufanyeje?Tangu jana/juzu mko kilomita 10 kufika kyiv na bado hamfiki?
Utakuwa hujui nguvu za kivita za Ukraine wewe.Sasa Muiraq nguvu zake unamlinganisha na ukraine?Irag walikua njema sana