Kama mpaka sasa hawajaiteka "Kyiv", basi ni wazi Jeshi la Russia halina nguvu kama inavyodaiwa

Kama mpaka sasa hawajaiteka "Kyiv", basi ni wazi Jeshi la Russia halina nguvu kama inavyodaiwa

Yale majeshi imara duniani ya Marekani + NATO (muungano wa nchi kibao) yalichukua masaa mangapi kuiteka Baghdadi?

Kwa kukusaidia tu pamoja na wingi wao (US+NATO) na bajeti zao kubwa ktk mambo ya silaha, iliwachukua siku 7 kuiteka Baghdad.

Ikawachukua mwezi 1, wiki 1 na siku 4 kuiteka Iraq yote.

View attachment 2131503View attachment 2131504
Sasa ndio mtawwza kupambana na NATO na kuwashinda?
 
Hili dude lilikuwa chini ya ukraini lakini muda huu limetekwa na urusi
img_1_1645853538735.jpg
 
Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.

Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia mpaka muda huu mji mkuu wa Ukraine uwe chini ya Majeshi ya Russia lakini mpaka sasa bado.

Soon tutaanza kusikia madai kuwa Jeshi la Ukraine linapata support kutoka kwa wamarekani na washiriki wake.

Ama kweli actions speak louder than words.
Tulia hii ni Vita sio Kama kupiga mabomu kuwatawanya wafuasi wa TLP
 
Huo ndio ukweli. Kwa mikwara yenu, mpaka muda huu mngekuwa mmeshaiteka Kyiv, ila mpaka sasa mmeshindwa na ni wazi ingekuwa ni nchi kama Ujeruman au France, mngekuwa bado mpkani na hapa ndio najiuliza uwapi uwezo wa nyinyi kupambana na Majeshi ya NATO kama mnavyojisifu.
Ni kweli Nguvu ya jeshi la Russia bado haijaonekana, labda waje na maelezo yanayoeleweka
 
Watu bwana unafikiri kusafirisha matikiti hayo

Dunia ilijiandaa mda gani na miezi mingapi kumpiga Saddam
Njoo na data kamili maana nilikuwa huko mwanzo mwisho na kushiriki baadhi
Vita ya Iraq/Iran nilikuwepo pia na ya Uganda niliishuhudia

Kama mnafikiri vita ni kama ngumi unaingia ulingoni ukisubiri kengere unajidanganya

Jeshi haliingii kichwa kichwa hata siku moja linahitaji maandalizi makubwa ndio maana walifanya mazoezi huko Belarus kukusanya nguvu kwanza
 
Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.

Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia mpaka muda huu mji mkuu wa Ukraine uwe chini ya Majeshi ya Russia lakini mpaka sasa bado.

Soon tutaanza kusikia madai kuwa Jeshi la Ukraine linapata support kutoka kwa wamarekani na washiriki wake.

Ama kweli actions speak louder than words.
Toka juzi walisema wamebakiza kilometa 10,kuuteka mji ila mpk sasa bado.
Itakua kuna watu wanalifanyia analysis jeshi la Urusi kupitia hili jambo, kujua kama lina nguvu inayosemwa au lah
 
Toka juzi walisema wamebakiza kilometa 10,kuuteka mji ila mpk sasa bado.
Itakua kuna watu wanalifanyia analysis jeshi la Urusi kupitia hili jambo, kujua kama lina nguvu inayosemwa au lah
Njia ya muongo ni fupi.
 
Kumuua kobe inahitaji timing kijana maana hiyo vita inapiganwa kwenye makazi ya watu then ni warusi kabsa so usifikiri ni rahis na kunywa chang'aa
 
Back
Top Bottom