Kama mpaka sasa hawajaiteka "Kyiv", basi ni wazi Jeshi la Russia halina nguvu kama inavyodaiwa

Kuamini Urusi anaweza kuishinda NATO kwenye vita ni matumizi mabaya ya akili. Russia ni overrated, Ukraine angekuwa na mfumo mzuri wa air defense ni wazi Russia asingetoboa. Kwa namna Urusi alivyopanga majeshi yake tena kwa kushirikiana na Belarus niliamini ingekuwa vita ya siku 2. Ingawa Urusi anaweza kuangusha majengo na kuteka miji, vita inahamia mtaani, na hii ndio vita ngumu zaidi.
 
Panahitajika uangalifu Kwa sababu inawezekana wakauwawa Watu wasio na hatia, kwahiyo wanaweza wakauzunguka huo mji lakini kuingia pale ikahitajika hesabu Kali zaidi ili kuepusha maafa na umwagaji wa damu.
sawa kabisa anadhani ni URUSI ni kama shetani marekani yeye anaua tu RAIA hovyo
na JESHI la UKRAINE lishajua UDHAIFU wa URUSI ni kutopiga kabisa walipo RAIA na linatumia MWANYA Huo kujilinda nyuma ya raia na sometime ambush
 
Nimeshindwa hata kuamaliza upupu wako hivi unafikir vita ni harusi
 
Kuamini pia NATO inaweza kuivamia Russia ni matumizi mabaya ya akili.russia Wana nguvu kushinda NATO ndo maana wamepingwa biti hakuna anayeingipia mpaka Sasa hivi alafu Jana meli za NATO(TURKEY)ilipigwa na hakuna kitu walifanya.
 
Ukraine sio dhaifu kama unavyodhani.
 
Kaangalie video za nuclear bomb ya "Tsar Bomba" utaelewa why NATO and na US wanaenda with special strategy though US anaweza kua na atomic bomb than Tsar Bomber je Russia Kwa Sasa wana atomic bomb ya aina gani ???

Haya mambo ni ya hatari na ya kutisha ndugu zangu ,,,nenda YouTube na search Hilo bomb inaitwa Tsar Bomber hiyo ilikua ni 54yrs iliyopita je hivi Sasa atomic bomb ambazo zpo znauwezo wa aina gani????

Angalieni wenyewe haya sio mambo ya mzaha
 
Panahitajika uangalifu Kwa sababu inawezekana wakauwawa Watu wasio na hatia, kwahiyo wanaweza wakauzunguka huo mji lakini kuingia pale ikahitajika hesabu Kali zaidi ili kuepusha maafa na umwagaji wa damu.
Hili ndio jibu sahihi.
Na ndio Hali halisi.
 

Mmarekani na washirika wake wanapigana kutokea twetter [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hamna wa kumzuia [emoji635]
 
Hao Europe wanangalia zaid uchum wao kuliko kitu chochote hawawez kupoteza pesa zao kwanchi ambayo hata sio mwanachama wanato
 
Urahisi wa kuandika uzi ni tifauti na uhalisia...vita si lele mama
 
Kama huna ufahamu na kitu bora ukakaa kimya utaonekana una akili.

Vita sio kitu rahisi kama ww unavyo fikiria.

Marekani alitumia miezi kufika mji mkuu wa Iraq.

Urusi katumia siku 2 kufika mji mkuu wa Ukraine bado tu hujaona nguvu ya Urusi.
Nakazia Marekani ilitumia miaka 5 kumpata Osama Bin Laden
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…