myself scenario
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 347
- 213
Tamu ipi hiyo?
Hahaha chini ya kito..vu katikati ya mapa..jaTamu ipi hiyo?
Dah kweli we mvumilivu aseee mimi ningeshindwaAcha kukalili mtoa mada.. Mi nilivumilia mpaka kuja kuoa bikra,ananiambia mpaka tukifunga ndoa.
Unaweza kutofautisha ya kichina na ya asili ??? Maana zipo za Kichina, unaweza kuwa wewe tu ndo unaambiwa kusubiri ndoa ilihali Bibi arusi mtarajiwa yuko na mume asiye matarajiwa.Acha kukalili mtoa mada.. Mi nilivumilia mpaka kuja kuoa bikra,ananiambia mpaka tukifunga ndoa.
Ukitaka fanikisha hill,jiweke bize na mazoezi na kusoma vitabu vya dini na kadhalika. Tupunguze kuwaza wanawake,binafsi niliweza kwakuwa nilimtanguliza Allah. Unachopaswa ni kumchunguza tabia,otherwise utajikuta unabadilisha kama nguo. Kuna maradhi jamani.[emoji23] [emoji27] [emoji32]Dah kweli we mvumilivu aseee mimi ningeshindwa
Ukitaka kufahamu,toka nae out sehemu kwa muda wote muwe pamoja kama wiki hivi. Wengine huwa wanaweka dawa Fulani hivi. Ukiona umepiga show ya Mara ya kwanza had I kwa muda wa Siku 5 unaumia. ujue hapo mpya hiyo.Unaweza kutofautisha ya kichina na ya asili ??? Maana zipo za Kichina, unaweza kuwa wewe tu ndo unaambiwa kusubiri ndoa ilihali Bibi arusi mtarajiwa yuko na mume asiye matarajiwa.
Hicho sio kipimo kizuri, hao wa Kichina hata maisha yao yanakuwa ya kichina, show ya kwanza atapiga kilio mpaka amushe majirani, halafu kesho yake hakupi kwa kisingizio kwa aliumia sana, siku hiyo ambayo wewe hajakupa ataenda kumpa ex wake, baada ya siku tatu atakupa lakini akiwa anabana map...ja kuwa bado anakuogopa, chezea maisha fake wewe !!!Ukitaka kufahamu,toka nae out sehemu kwa muda wote muwe pamoja kama wiki hivi. Wengine huwa wanaweka dawa Fulani hivi. Ukiona umepiga show ya Mara ya kwanza had I kwa muda wa Siku 5 unaumia. ujue hapo mpya hiyo. Za kichina hazina maumivu Ila orijino ataugulia wiki nzima.
Bora tumrudie Muumba yote yataisha haya..!Hicho sio kipimo kizuri, hao wa Kichina hata maisha yao yanakuwa ya kichina, show ya kwanza atapiga kilio mpaka amushe majirani, halafu kesho yake hakupi kwa kisingizio kwa aliumia sana, siku hiyo ambayo wewe hajakupa ataenda kumpa ex wake, baada ya siku tatu atakupa lakini akiwa anabana map...ja kuwa bado anakuogopa, chezea maisha fake wewe !!!
Hayo ndo maisha, hayataisha yalikuwepo hata kipindi cha Yesu na Mtume Mohamed. Wanaume ndo tunajitia uchizi wa kutafuta hizo Bikira, matokeo yake Wadada wanatafuta hizo fake, mwanaume ukiingia unachubuka then kama ana ugonjwa, unaupata unakufa unacha maisha yanaendelea.Bora tumrudie Muumba yote yataisha haya..!
Kweli mkuuHayo ndo maisha, hayataisha yalikuwepo hata kipindi cha Yesu na Mtume Mohamed. Wanaume ndo tunajitia uchizi wa kutafuta hizo Bikira, matokeo yake Wadada wanatafuta hizo fake, mwanaume ukiingia unachubuka then kama ana ugonjwa, unaupata unakufa unacha maisha yanaendelea.
Upo kama mmMi huwa sivumilii mkuu ndani ya wiki nishamaliza kazi ,