myself scenario
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 347
- 213
Salaam..
Sasa leo niko tofauti kidogo,sio kila uzi ni matatizo tu na kuomba ushauri ila leo nataka tucheke..
Ikiwa una mpenzi wako na kila siku anakuita mpenzi ila hajawahi kukupa ile tamu,basi kaa ukijua wewe ni MPENZI MTAZAMAJI...
Nawasilisha....