Kama mpira una uchawi basi huu wa Fiston Mayele ni uchawi tosha

Sawa Joyce beki ya kumwaga maji ila Yanga mara ya mwisho kushinda kimataifa ilikuwa 2015.
 
wewe unaamini simba sio wachawi?? Dunia nzima iliona uchawi wenu kule Sauzi! Huo uchawi wa Yanga ulikuwa wapi miaka 4 tuliyosota bila kombe!? Imarisheni timu zenu la sivyo mtafungwa sana na hii Yanga!
Yanga kuifunga simba sio uimara wa kikosi hyo simba ya kina miquisoni na kagere ilikuwa inapata tabu kwa yanga ya mwinyi zahera kakolanya aliokoa magoli 17 ya uchawi mpaka uchebe anaulizwa anasema hajui kwa nn ile mechi iliisha droo unauliza uchawi yanga simba atamfunga al ahly atamfunga kaizer chief lakini sio washirikina yanga hata iwe mbovu vipi simba anapata tabu.
 
Kati ya Simba na Yanga nani alianza kuifunga Al Ahly?
 
Hakuna uchawi mbaya kama kumkosa aziz [emoji1006] then useme hakuwa kwenye plan zako akitoa assist kwa mayele ndo uje useme uchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…