pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Sawa Joyce beki ya kumwaga maji ila Yanga mara ya mwisho kushinda kimataifa ilikuwa 2015.Kuna wachawi kuliko simba? Hivi mnajielewa kweli nyie au madish yenu yanayumba? Mchawi na mchawi wakikutana kuna mmoja atazidiwa na atasalimu amri ndo nyie, Mmezidiwa ujanja na yanga mnabaki mnabwata bwata tu kama kuku wa mdondo, Tengeneza kikosi bora ndo uongeze na uchawi unaweza kufanikiwa lakini kikosi chako cha kuunga unga alafu mwenzako mwenye kikosi bora unaanza kumuonea wivu, akili za wabongo ni ovyo kabisa