Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,359
- 4,528
Kwani si kaichezea msimu huu hadi huko kwenye kombe, kimaana nyingine ni kwamba jina lake liliwasilishwa miongoni mwa wachezaji watakaoshiriki michuano hiyo. Hivyo medali yake anayo ipo palepale na anahesabika Ni sehemu ya kikosi kilichotwaa kombe