Kama Msuva angevumulia kidogo tu Wydad AC angeandika historia mpya Afrika

Kwani si kaichezea msimu huu hadi huko kwenye kombe, kimaana nyingine ni kwamba jina lake liliwasilishwa miongoni mwa wachezaji watakaoshiriki michuano hiyo. Hivyo medali yake anayo ipo palepale na anahesabika Ni sehemu ya kikosi kilichotwaa kombe
 
Upo sahihi.
Hawa jamaa hawana njaa kwamba wanunue mchezaji wasimlipe mshahara,
Sio kweli.
 
Kwa sasa yuko wapi msuva?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…