Kama Mtaalamu wa Saikolojia ya Mahusiano, Namshauri Haji Manara Apunguze Kasi ya Kuanika Mapenzi yake Hadharani, hasa Faragha yake

Manara ni MFANYABIASHARA( brand ambassador wa makamouni ) na ndo shughuli inayomuweka mjini. Hii nafasi aliipata kupitia usemaji wa mpira na ndo ulimpa umaarufu. Baada ya kufungiwa hana kingine Cha kuonesha Ili aendelee kutrend na kuendelea kujipatia ubalozi wa matangazo Sasa inabidi ajitoe fahamu Ili mkono uende kinywani ,mueleweni jamani na msameheni
 
Ukiona hivyo tambua kuna udhaifu fulani anauficha! Sasa ili kufidia hilo gap inabidi awe na show offs za kutosha! Case study: Masanja mkandamizaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Haaa haa hatari sana sema tunashindwa kujua manara kweli kazaliwa mjini ila hakuishi maisha ya mjini maisha ya mjini yalimpita sasa leo hii ndio kageuka kituko ingawa yeye atasema anajibrand, kibaya this time kajimix kwenye biffu na mtoto wa uswazi
 
Kama hawatazidisha mipaka wapo Sahihi
Yaani unakuta unamsifia na Kumpost Mkeo kutwa mara 8 utasema dozi ya Uviko 19

Kumbe Vijana wa hovyo wanamlia timing tu

Kuja kutahamaki wameshamvua chupi saa ngapi

Na hivi Kuna ule msemo wa every woman has price tag

Baada ya hapo ni mwendo wa kuimba wimbo wa Kataa Ndoa na nduguzo akina dronedrake 😜
 
[emoji16][emoji16]
 
Inategemea Manara kuzungukwa na watu wa aina gani..( friends)...Lakini kama hasomi hizi comments basi Friends zake..

Ni kama tunaiiga life style za western, kwamba fedha ndio kila kitu, hata kama utatembea uchi. Imefika mahali hawawezi tena kudhibiti hasa kwa watoto.

Kwa jina lake tu bado aweza tu kufanya biashara bila kuhitaji kutrend..
 

Mwanamke akikupenda huna haja ya kumwambia chakufanya bali yeye mwenyewe atajua nini unataka na atafanya utakavyo bila kumwambia
 

Kwa jina lake tu bado aweza tu kufanya biashara bila kuhitaji kutrend..

Hii ni zaidi ya pointi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…