Kama mtabe wa mathematics, pitia hapa

Kama mtabe wa mathematics, pitia hapa

Nahisi umejitungia swali lako..
Swali si hilo swali kwenye power ni {8-x} na si hilo lako {x-2}

Umekosea swali, tizama vizuri.
Jibu la swali lakoni sahihi lakini si kwenye swali halisi. Ukiweka 8 humo, inakuwa 8-8=0 nama yoyote ikiwa na power 0 jibu unajua, upande wa pili itakuwa 64.
Alicho kifanya hapi ni kutoa jibu nankuli prove sioni kama katunga swal
 
Alicho kifanya hapi ni kutoa jibu nankuli prove sioni kama katunga swal
Kosa lake lipo hapa.

Swali lilikuwa ni 2^(8-x)=8x
Jibu lililokuja ni 3.24 hivi, yeye kawakosoa hilo sio jibu, jibu ni 8.
Equation aliyotumia kuprove jibu lake na kuwakosoa wenzie si ya swali husika.
Yeye katumia equation ya 2^(x-2)=8x, sasa hakupaswa kuwakosoa wa jibu la 3.24
 
Duh em tazama vema boss
Inaoneka u r missing the point , hapo , pay good attention utaelewa
 
Swali linasemaje?
Swali linasema find the value of x
Alicho fanya marcoveratti ni kwamba katafuta value ya x ambayo kapata 8 ,

Kicha kaonesha namba nane ni jibu sahihi kwa kuichukua hiyo 8 na kuipachika kwenye kila sehem yenye x ili kuona je LHS itakua sawa na RHS ,

na ime kuja baada ya kuweka 8 kma ndio value ya x

LHS ikawa 64 pia RHS ikawa 64 so

LHS = 64 = RHS

usicho elewa wewe hapo nini boss !
 
Haya chukua value 8 kisha ingiza kwemye equations zifuatazo.
1. 2^(8-x) =8x

2. 2^(x-2) =8x

Wapi 8 inakuwa ni jibu sahihi.
Swali lililoletwa ni equation namba 1, ambalo jibu halisi ni 3.248 nakuendelea huko.
Kosa alilofanya ni kuwatoa wenzie akili waliopata hilo jibu kwa swali hilo, ye akasema jibu ni namba 8 lakini equation aliyotumia kuprobe jibu ni hii namba 2 na sio namba 1.
 
Daah jamaa angu ulisoma kweli hesabu ? Mbona concept simple sana wewe una jichanganya kiasi hicho?
 
Daah jamaa angu ulisoma kweli hesabu ? Mbona concept simple sana wewe una jichanganya kiasi hicho?
Jamaa mbona unanitisha, ina maana ulichokileta unakijua au umekopi tuu..

Haya chukua hilo jibu la 8 kisha prove kwenye equation yako.

2^(8-x) =8x
LHS ikiwa sawa na RHS mie najitoa kabisa jf na nakutumia bando la mwezi.
 
Mkuu hebu kuwa Serious kidogo mbona jamaa kaeleza vizuri wewe ulichoshindwa kuelewa hapo ni nini, swali uliloleta wewe ni 2^(8-x) = 8x ila yule swali aliloleta ni 2^(x-2) = 8x hayo ni maswali mawili tofauti ndugu, hiyo 8 ni jibu la hilo swali lake alilojitungia yeye na siyo lile uliloleta wewe
Jamaa mpaka kanishangaza, na kakaza kichwa kweli kwelim
 
Jibu la hili swali ni x = 8 ,

Kweli Mathematics ni janga la taifa ,

Prove

2^(x-2) = 8x
Weka 8 kwenye x

2^(8-2) = 8(8)

2^6 = 64

64 = 64

Hence proved !

________________________

Nawataka wale walio kua wanakaza vichwa na jibu la makadirio mara wanasema 3..... Waje watii amri na wakubari wao ni vilaza niwape njia

Hili taifa linashida kweye Mathematics walahi [emoji23][emoji23][emoji23]

Ka swali ka form two , realy

Nimesikitika sana ,,
Nimesikitika mnoooo
Umebadilisha swali!
Boya wewe
 
Habari za wakati huu wana jamiiforum

Kuna ka swali hapa ka O level kana sumbua hivyo nataka kuwasirisha kwa watabe wa jamii forum ila niweze kupata solution yake

SWALI :

2^(8-x) = 8x

Yaani :

Two power eight minus X equals to eight x(eight times X )

Find the value of X.

Asante ,

nahitaji soulution , si jibu pekee !
#80
jaguarjr
 
Yaan naona kabisa inaleta shida tu...
Sasa unazani kutakua na class hapa..
Kila mtu anakua anajua ndo nini sasa...🤓🤓🤓🤓🙌🙌🙌🙌
Hofu uliyo nayo pia ilitokea baada ya calculator kugunduliwa watu wakahisi sasa kuna haja gani ya kujifunza hesabu. Ila syallabus zikawa updated kiasi kwamba hata ukiwa na calculator bila kujua uifanyie nini ni bure.
 
Back
Top Bottom