Kama Mtanzania namshauri Spika Ndugai kuwa huu si muda wa vijembe na utani kwa kina Mbowe. Tujibu hoja chafu za awamu iliyopita

Spika anatuhumiwa na watanzania kutumia mabilion ya shilling kujitibia India bila kufuata sheria na utaratibu.
 
Call a spade a spade not a big spoon
 
Wasalam ndugu zangu, spika wetu ni mbinafsi, mamluki, jeuri, majungu, fitna, kiburi, katili, chuki binafsi, kigeugeu na asiyejua asimamie nini wakatika gani. Tujipe pole miaka5 ya bunge hili ni mingi sana mungu atusaidie.
Halafu Ni mfupi Mbowe Ni mrefu. Unajua watu wafupi hawajiamini mbele za watu warefu lakini pia hawajiamini mbele za wanawake.
Mtu mfupi akisikia mke wake anamsifia mtu mrefu Basi atapata presha matibabu nje ya nchi
 
Bado yuko zama zileeee......

Ngoja aamke atagundua kuwa kashaachwa zamani sana
 
Mpeni taarifa. Ramadhan imeanza leo, Mwendazake tulimfungia kwa sala na maombi wakati ule wa kwaresma na Mungu akajibu maombi.

Mwezi Ramadhani ndugu zetu wameanza kufunga na kuomba dua. Ni zamu yake sasa. Hii ramadhan haitaisha kabla Munfu hajajibu maombi.

Ngugai ndio mtu aliyeuwaribu uchaguzi mkuu uliopita kwa % nyingi kuliko hata mwenda zake. Yeye ndio aliyekuwa master plan ya uchafu wote. Namwomba Mungu ajibu maombi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…