Sijataja mtu lakini nataka niwaambie kuwa, ukiachilia mbali uchawi wa vile vizee vyenu, mmekuwa mkibebwa sana na waamuzi na mmetumia sana pesa kuathiri wapinzani wenu nje ya uwanja.
Sasa nijuacho kwenye mechi za kimataifa maamuzi huwa thabiti na mtalalamika sana kwa jinsi mlivyozoea kubebwa ligi za ndani. Iwapo mtatolewa na timu mliyoita inajitafuta, msiache kuja tena na kutuambia mpira ni mchezo wa makosa, ukifanya makosa unaadhibiwa.
Muendelee kutuambia mmefungwa na timu dhaifu kwa hiyo ninyi ni dhaifu zaidi. Hata hivyo tunajua ninyi ni kama pilipili hoho!