Kama mtoto wako wa kiume anaharibu toys kila ukimnunulia fanya hivi...!

Kama mtoto wako wa kiume anaharibu toys kila ukimnunulia fanya hivi...!

Nakukumbusha; kila lenye mwanzo halikosi mwisho.

kwa mtoto mdogo hakuna kitu imara lazima kitaharibika tu mkuu
 
Kama wewe ni baba wa huyu mtoto mharibifu wa matoi na hiki ndicho umewaza hakika wewe na mwanao wote watoto.
Ili uwe mzazi bora kwa mwanao act like one...hata ufalme wa mbinguni wataingia wanaoact kama watoto,ila anaependa sifa za kijinga kwa kukosoa hoja yenye mantiki kama wewe HUENDI MBINGUNI
Ila hata wewe ni mtoto kwa kukomenti uzi wa mtoto
 
Mtasubiri kila kitu kutoka kwa mchina
Wachongee mbao
Zamani kina mama walikuwa wabunifu kuliko siku hizi
Maana walikuwa wanawashonea baby dolls wazuri tu na wakichafuka wanafuliwa

Siku hizi hakuna ubunifu tena naona tunapiga hatua za nyuma tu
 
Mnaraha mwanangu Mimi hata matoy hayajui yeye ni kuchezeaga udongo tu ndio anatengeneza magari.
Tatizo hawa watoto wa mjini wanamjua Ben10 Sasa udongo wanaita uchafu hawataki kucheza na vumbi...hata kuita baba hawataki wanasema teacher alisema waite dadi... japo sie baba zao ndio tumetengenezea toys yakiwemo magari ya tofali tuliyokuwa tunayakokota kwenye vumbi goti linakomaa linakuwa jeusiii...
 
Gtaxi unapoibandika changanya na majivu laini, utasahau...
Nilishafanya mpaka kufunga na bolt ndogo ndogo lakini nikirudi home jioni naliona linahitaji kwenda garage.watoto huwezi kuwazuia uharibifu wao wanapokua wadogo.tisa kumi siku moja nilijinunulia sofa la 1.5 milion,baada ya siku tatu nikakuta wamelifanya chapati na kisu.afu wako happy tu hawana wasi wasi wananichekea.
 
Basi watoto wataishia kuwa mafala na pia tutawapa sumu.

Super glue isn't very safe hamjui tu.
Sasa hayo matoys ndio sumu kabisa yanasababisha kansa sababu ya plastiki yenye rangi zinazochubuka kirahisi hasa hizo toys za uchaina...ndio maana USA wakati fulani waligonga ban toys za uchaina sababu hiyo
 
Ni kweli aisee ila angalau mbinu hii imenisaidia matoi yanakaa muda kidogo maana kuna chalii hapa unaweza nunua toy mchana,jioni ashaharibu! Matoy ya mlimani siti ni imara ila bei kali
Nakukumbusha; kila lenye mwanzo halikosi mwisho.

kwa mtoto mdogo hakuna kitu imara lazima kitaharibika tu mkuu
 
Mrashia watoto aisee yaani hapa mwezi wa tatu sasa kila wiki nanunua toys zinaharibika...jamaa kanipa hii mbinu nikasema acha nisheepo na wazazi wenzangu humu,kkk
N'yadikwa wewe ndio umeanzisha hii thread kweli? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sikutegemea kwakweli
 
Nunua Super Glue bandika joints zote za toy kisha muachie hapo hata alibamize vipi halivunjiki...problem solved hasa haya matoy ya kichaina chaina
Hiyo ni dalili kuwa mwanao atakua mkorofi sana
 
Huna haja ya kutumia hizo super glue,nunua toys za China zenye specifications za europe hutajutia,kiurahisi zinauzwa kwenye mitumba,hizo hata ukipiga chini hazipasuki lakini hizo za kutoka China moja kwa moja hazifai kabisa utatupa hela nyingi sana...
 
Back
Top Bottom