Kama mtoto wako wa kiume anaharibu toys kila ukimnunulia fanya hivi...!

Kama mtoto wako wa kiume anaharibu toys kila ukimnunulia fanya hivi...!

Hiyo ni dalili kuwa mwanao atakua mkorofi sana
Sasa ona kwa mfano alichoifanya hiyo fastijeti ilikuwa inaruka kabisa, ona sasa iko grounded !!
Yaani chalii anajua kuharibu tu komesha yake supaglue...
20180929_210853.jpeg
 
Nitazingatia ushauri wako mwanabodi
Huna haja ya kutumia hizo super glue,nunua toys za China zenye specifications za europe hutajutia,kiurahisi zinauzwa kwenye mitumba,hizo hata ukipiga chini hazipasuki lakini hizo za kutoka China moja kwa moja hazifai kabisa utatupa hela nyingi sana...
 
Hachana na super glue... Tafuta araldite super straingth hiy kualibu ni kuvunja kwa jiwe au kitu kizitoo... Ina nasa zaidi ya super glue zaidi...

Una weza isoma mitandaoni... Ma Eng watakuwa wana nielewa kuhusu hii gundi...
 
Hiyo aladaiti mi nacheza nayo gereji deile naielewa kuliko, nimependekeza supaglu sababu ya urahisi ktk upatikanaji wake
 
Tatizo hawa watoto wa mjini wanamjua Ben10 Sasa udongo wanaita uchafu hawataki kucheza na vumbi...hata kuita baba hawataki wanasema teacher alisema waite dadi... japo sie baba zao ndio tumetengenezea toys yakiwemo magari ya tofali tuliyokuwa tunayakokota kwenye vumbi goti linakomaa linakuwa jeusiii...
huo udongo ni wa aina gani!!!

pia kama wewe ukiwa unaita uchafu obvious hata wao wataita uchafu, wakati mwingine ni vizuri kushiriki nao pamoja ktk ubunifu wa kutumia udongo.
 
huo udongo ni wa aina gani!!!

pia kama wewe ukiwa unaita uchafu obvious hata wao wataita uchafu, wakati mwingine ni vizuri kushiriki nao pamoja ktk ubunifu wa kutumia udongo.
Hawa machalii wa english medium hawataki udongo, kuna udongo wao unauzwa ndio wanataka huo kutengenezea midoli na maumbo wayapendayo
 
huo udongo ni wa aina gani!!!

pia kama wewe ukiwa unaita uchafu obvious hata wao wataita uchafu, wakati mwingine ni vizuri kushiriki nao pamoja ktk ubunifu wa kutumia udongo.
Inaonekana u/utakuwa baba bora
 
Hawa machalii wa english medium hawataki udongo, kuna udongo wao unauzwa ndio wanataka huo kutengenezea midoli na maumbo wayapendayo
hapo sasa ni wewe na ushawishi wako kama baba japo sio lazima watumie udongo wetu wa asili huu,
hata huo udongo wao maalum ni mzuri pia japo ubaya wake ni kwamba haukauki.
 
Watoto hawa hawajui thamani ( sio kipesa ) ya vitu sababu vinakuja kirahisi , ingekua anatengeneza Toy mwenyewe ungeona anavyo kitunza

Watoto hawa hawajui thamani ( sio kipesa ) ya vitu sababu vinakuja kirahisi , ingekua anatengeneza Toy mwenyewe ungeona anavyo kitunza

Huyu mwenye suti atakuja kuwa mwenyekiti wa chama cha siasa ana postures za kipolitikipolitiki
 
Jamaa anajiita mbao za mawe dah yaani nimecheka kishenzi
 
Back
Top Bottom