Glue ikikauka hua inabanduka mkuuNunua Super Glue bandika joints zote za toy kisha muachie hapo hata alibamize vipi halivunjiki...problem solved hasa haya matoy ya kichaina chaina
Ili uwe mzazi bora kwa mwanao act like one...hata ufalme wa mbinguni wataingia wanaoact kama watoto,ila anaependa sifa za kijinga kwa kukosoa hoja yenye mantiki kama wewe HUENDI MBINGUNIKama wewe ni baba wa huyu mtoto mharibifu wa matoi na hiki ndicho umewaza hakika wewe na mwanao wote watoto.
Tatizo hawa watoto wa mjini wanamjua Ben10 Sasa udongo wanaita uchafu hawataki kucheza na vumbi...hata kuita baba hawataki wanasema teacher alisema waite dadi... japo sie baba zao ndio tumetengenezea toys yakiwemo magari ya tofali tuliyokuwa tunayakokota kwenye vumbi goti linakomaa linakuwa jeusiii...Mnaraha mwanangu Mimi hata matoy hayajui yeye ni kuchezeaga udongo tu ndio anatengeneza magari.
Nilishafanya mpaka kufunga na bolt ndogo ndogo lakini nikirudi home jioni naliona linahitaji kwenda garage.watoto huwezi kuwazuia uharibifu wao wanapokua wadogo.tisa kumi siku moja nilijinunulia sofa la 1.5 milion,baada ya siku tatu nikakuta wamelifanya chapati na kisu.afu wako happy tu hawana wasi wasi wananichekea.Gtaxi unapoibandika changanya na majivu laini, utasahau...
Sasa hayo matoys ndio sumu kabisa yanasababisha kansa sababu ya plastiki yenye rangi zinazochubuka kirahisi hasa hizo toys za uchaina...ndio maana USA wakati fulani waligonga ban toys za uchaina sababu hiyoBasi watoto wataishia kuwa mafala na pia tutawapa sumu.
Super glue isn't very safe hamjui tu.
Depends na grade ya toys na country of origin.Sasa hayo matoys ndio sumu kabisa yanasababisha kansa sababu ya plastiki yenye rangi zinazochubuka kirahisi hasa hizo toys za uchaina...ndio maana USA wakati fulani waligonga ban toys za uchaina sababu hiyo
Nakukumbusha; kila lenye mwanzo halikosi mwisho.
kwa mtoto mdogo hakuna kitu imara lazima kitaharibika tu mkuu
Hiyo ni dalili kuwa mwanao atakua mkorofi sanaNunua Super Glue bandika joints zote za toy kisha muachie hapo hata alibamize vipi halivunjiki...problem solved hasa haya matoy ya kichaina chaina