Huna haja ya kutumia hizo super glue,nunua toys za China zenye specifications za europe hutajutia,kiurahisi zinauzwa kwenye mitumba,hizo hata ukipiga chini hazipasuki lakini hizo za kutoka China moja kwa moja hazifai kabisa utatupa hela nyingi sana...
Kama wewe ni baba wa huyu mtoto mharibifu wa matoi na hiki ndicho umewaza hakika wewe na mwanao wote watoto.
Hiyo aladaiti mi nacheza nayo gereji deile naielewa kuliko, nimependekeza supaglu sababu ya urahisi ktk upatikanaji wakeHachana na super glue... Tafuta araldite super straingth hiy kualibu ni kuvunja kwa jiwe au kitu kizitoo... Ina nasa zaidi ya super glue zaidi...
Una weza isoma mitandaoni... Ma Eng watakuwa wana nielewa kuhusu hii gundi...
huo udongo ni wa aina gani!!!Tatizo hawa watoto wa mjini wanamjua Ben10 Sasa udongo wanaita uchafu hawataki kucheza na vumbi...hata kuita baba hawataki wanasema teacher alisema waite dadi... japo sie baba zao ndio tumetengenezea toys yakiwemo magari ya tofali tuliyokuwa tunayakokota kwenye vumbi goti linakomaa linakuwa jeusiii...
Hawa machalii wa english medium hawataki udongo, kuna udongo wao unauzwa ndio wanataka huo kutengenezea midoli na maumbo wayapendayohuo udongo ni wa aina gani!!!
pia kama wewe ukiwa unaita uchafu obvious hata wao wataita uchafu, wakati mwingine ni vizuri kushiriki nao pamoja ktk ubunifu wa kutumia udongo.
Inaonekana u/utakuwa baba borahuo udongo ni wa aina gani!!!
pia kama wewe ukiwa unaita uchafu obvious hata wao wataita uchafu, wakati mwingine ni vizuri kushiriki nao pamoja ktk ubunifu wa kutumia udongo.
hapo sasa ni wewe na ushawishi wako kama baba japo sio lazima watumie udongo wetu wa asili huu,Hawa machalii wa english medium hawataki udongo, kuna udongo wao unauzwa ndio wanataka huo kutengenezea midoli na maumbo wayapendayo
asante dear,Inaonekana u/utakuwa baba bora
Usipende vitu cheap wangu toys of kuanzia 120kNunua Super Glue bandika joints zote za toy kisha muachie hapo hata alibamize vipi halivunjiki...problem solved hasa haya matoy ya kichaina chaina