Wakuu poleni na pilika za mchana, niende moja kwa moja kwenye mada.
Naombeni msaada wenu kwa wataalamu na wazoefu wa taratibu zetu na sheria zetu hapa nchini, ni hivi kama mtu ana ubunifu au uvumbuzi wake inachukua muda gani kuusajili ule uvumbuzi wake kutoka kwa mamlaka husika?
Nawasilisha.