Kama mtu ana ubunifu au uvumbuzi wake inachukua muda gani kuusajili kwenye mamlaka?

Kama mtu ana ubunifu au uvumbuzi wake inachukua muda gani kuusajili kwenye mamlaka?

Yuyo Ahumile Shamalendi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2018
Posts
993
Reaction score
785
Wakuu poleni na pilika za mchana, niende moja kwa moja kwenye mada.

Naombeni msaada wenu kwa wataalamu na wazoefu wa taratibu zetu na sheria zetu hapa nchini, ni hivi kama mtu ana ubunifu au uvumbuzi wake inachukua muda gani kuusajili ule uvumbuzi wake kutoka kwa mamlaka husika?

Nawasilisha.
 
Inachukua mda usiojulikana wavumilie tu ila wasumbue sumbue ukikaa wao wanalala kbs
 
acha kujichanganya kiongoz

Ugunduz/uvumbuzi na usajili wa wazo lako nenda COSOTA
 
Back
Top Bottom