Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,311
- 1,297
Asanteee ila hakuna vita ngumu kama pale ubongo unaposema hafai na moyo ukasema nampenda yani hiyo vita kuishinda huwa ngumu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuuUkweli ulioje,tena ukiweza kuishi bila hawo viumbe unakuwa na utulivu na amani kuliko unapokuwa nawo. Kupenda na kupendwa ni drama.
Ningekujibu sema basi tu...Tusex kwanza ndiyo uondoke
🤭Tulia hivyohivyo tafadhaliNingekujibu sema basi tu...
Nimetulia sii unaona mwenyewe...🤭Tulia hivyohivyo tafadhali
Yeah, good man😉Nimetulia sii unaona mwenyewe...
Ahsante kwa taarifa...Yeah, good man😉
Mtu anaandika fact, wewe unaleta kejeli. Wee phala kweli.Mwana kagongwa za chembe tayari huko. Pole KAMANDA
Nimekusamehe we mbwaMtu anaandika fact, wewe unaleta kejeli. Wee phala kweli.
Comments kama hizi huwa zinafariji kweli 😅Kama matajiri top 3 duniani waliachwa na wapenzi wao, wewe umekuwa nani?