Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mambo mengine ni kuamini na kuachana nayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja ipo ila haiwezekani kwa maana imani ni jambo la miiko ya jamii husika, sasa kiuhalisia hakuna jamii isiyo na miikoMoja ya mambo yanayovuruga sana wanadamu ni mambo ya imani ambayo msingi wake ni kuamini bila kuhoji na kuhoji ni sawa na kukufuru(unamezeshwa).
Maajabu zaidi ni kuwa tuna vitabu viwili ambavyo ni Bibilia na Quran, lakini kwasababu watu wamekuja na tafsiri zao za haya maandiko, leo tuna madhehebu kibao kwa kila dini wakati Mungu tunaambiwa ni mmoja.
Matokeo ya hali nii mtu anazaliwa na kukulia katika dhehebu fulani mfano mkatoliki, baadae anahama anakuwa mlokole kwa hoja hawezi kukombolewa kupitia ukatoliki au mtu anzaliwa na kukulia katika ukristo, akikua anaona ukristo sio dini sahihi anahamia kwenye uislamu and vice versa.
Kituko kingine ni mtu kubadili dini kisa kuoa au kuolewa. Huu ndio uthibitisho hizi dini sometimes tunaburuzana tu na wala hatuziheshimu kabisa.
Sasa swali linakuja, kwanini mtoto anapozaliwa asiachwe mpaka awe mtu mzima awezi kufanya maamuzi sahihi afuate dini gani na dhehebu gani au asifuate dini kabisa?
Kama tunaona mtu mwenye umri wa chini ya miaka 18 hawezi kuwa na maamuzi sahihi kwenye sanduku la kura, ni kwanini kwenye mambo sensitive kama haya ya kiimani turuhusu watoto kuburuzwa na wazazi wao kiiamini kwa kutakiwa au kuachwa kufuata dini za wazazi wao?
Mtu anapobadili dini au dhehebu, huwa anatubu kuwa alikuwa amepotoka, na kama hatubu, hiyo dhambi ni nani anastahili kuibeba kama sio mzazi au mlezi?
Tukumbuke baadhi ya hizi dini na madhehebu yametokana tu na mitazamo/tafsiri za wanadamu kama sisi.
Tuwaache watoto mpaka watopofikia utu uzima(walau miaka 21) ndio wachague dini na dhehebu au kutokuwa na dini kabisa wakiona ni sahihi kufanya hivyo.
Tubadilike.
Mtazamo wako ni wa secularist. Ukweli ni kuwa bila masuala ya Dini ulimwengu ungeshafutiliwa mbali. Dini inasaidia watu kuwa na hofu ya kutenda maovu. Kipindi cha Nuhu watu hawakuwa na dini ona kilichotokea! Watu waliishi kama wanyama. Zinaa, dhuluma, mauaji nk ilikuwa ni kawaida tu.Moja ya mambo yanayovuruga sana wanadamu ni mambo ya imani ambayo msingi wake ni kuamini bila kuhoji na kuhoji ni sawa na kukufuru(unamezeshwa).
Maajabu zaidi ni kuwa tuna vitabu viwili ambavyo ni Bibilia na Quran, lakini kwasababu watu wamekuja na tafsiri zao za haya maandiko, leo tuna madhehebu kibao kwa kila dini wakati Mungu tunaambiwa ni mmoja.
Matokeo ya hali nii mtu anazaliwa na kukulia katika dhehebu fulani mfano mkatoliki, baadae anahama anakuwa mlokole kwa hoja hawezi kukombolewa kupitia ukatoliki au mtu anzaliwa na kukulia katika ukristo, akikua anaona ukristo sio dini sahihi anahamia kwenye uislamu and vice versa.
Kituko kingine ni mtu kubadili dini kisa kuoa au kuolewa. Huu ndio uthibitisho hizi dini sometimes tunaburuzana tu na wala hatuziheshimu kabisa.
Sasa swali linakuja, kwanini mtoto anapozaliwa asiachwe mpaka awe mtu mzima awezi kufanya maamuzi sahihi afuate dini gani na dhehebu gani au asifuate dini kabisa?
Kama tunaona mtu mwenye umri wa chini ya miaka 18 hawezi kuwa na maamuzi sahihi kwenye sanduku la kura, ni kwanini kwenye mambo sensitive kama haya ya kiimani turuhusu watoto kuburuzwa na wazazi wao kiiamini kwa kutakiwa au kuachwa kufuata dini za wazazi wao?
Mtu anapobadili dini au dhehebu, huwa anatubu kuwa alikuwa amepotoka, na kama hatubu, hiyo dhambi ni nani anastahili kuibeba kama sio mzazi au mlezi?
Tukumbuke baadhi ya hizi dini na madhehebu yametokana tu na mitazamo/tafsiri za wanadamu kama sisi.
Tuwaache watoto mpaka watopofikia utu uzima(walau miaka 21) ndio wachague dini na dhehebu au kutokuwa na dini kabisa wakiona ni sahihi kufanya hivyo.
Tubadilike.
Maana au tafsiri nzuri haviakisi uzuri wa kitu, acha hiyo maana ya mfumo wa maisha, kuna dini ya Mungu, ummat wa mtu fulani n.k yote yana sura nzuri lakini mwenendo, mafundisho, matendo kwa maana ya uhalisia wa ndani hakuna kituMaana ta dini kwa mujibu wa uislam ni way of like. Su mfumo wa maisha.
hakuna mtu anaeweza kuishi bila ya mfumo wa maisha.
Sasa kwa mujibu wa mleta hoja. Serikali isiwafundishe watoto mfumo wa maisha. Wakati haiwezekani kuishi bila ya mfumo wa maisha.
Nonsense
Ni kweli kabisa mkuu. Nawaonea huruma watoto wanavyochapwa bakora huko madrassa. Wawaache wawe wakubwa w.aamue wenyewe.Moja ya mambo yanayovuruga sana wanadamu ni mambo ya imani ambayo msingi wake ni kuamini bila kuhoji na kuhoji ni sawa na kukufuru(unamezeshwa).
Maajabu zaidi ni kuwa tuna vitabu viwili ambavyo ni Bibilia na Quran, lakini kwasababu watu wamekuja na tafsiri zao za haya maandiko, leo tuna madhehebu kibao kwa kila dini wakati Mungu tunaambiwa ni mmoja.
Matokeo ya hali nii mtu anazaliwa na kukulia katika dhehebu fulani mfano mkatoliki, baadae anahama anakuwa mlokole kwa hoja hawezi kukombolewa kupitia ukatoliki au mtu anzaliwa na kukulia katika ukristo, akikua anaona ukristo sio dini sahihi anahamia kwenye uislamu and vice versa.
Kituko kingine ni mtu kubadili dini kisa kuoa au kuolewa. Huu ndio uthibitisho hizi dini sometimes tunaburuzana tu na wala hatuziheshimu kabisa.
Sasa swali linakuja, kwanini mtoto anapozaliwa asiachwe mpaka awe mtu mzima awezi kufanya maamuzi sahihi afuate dini gani na dhehebu gani au asifuate dini kabisa?
Kama tunaona mtu mwenye umri wa chini ya miaka 18 hawezi kuwa na maamuzi sahihi kwenye sanduku la kura, ni kwanini kwenye mambo sensitive kama haya ya kiimani turuhusu watoto kuburuzwa na wazazi wao kiiamini kwa kutakiwa au kuachwa kufuata dini za wazazi wao?
Mtu anapobadili dini au dhehebu, huwa anatubu kuwa alikuwa amepotoka, na kama hatubu, hiyo dhambi ni nani anastahili kuibeba kama sio mzazi au mlezi?
Tukumbuke baadhi ya hizi dini na madhehebu yametokana tu na mitazamo/tafsiri za wanadamu kama sisi.
Tuwaache watoto mpaka watopofikia utu uzima(walau miaka 21) ndio wachague dini na dhehebu au kutokuwa na dini kabisa wakiona ni sahihi kufanya hivyo.
Tubadilike.
Nafikiri hata elimu ya sekula pia tusubiri mpaka afike 24 years maana kumlazimisha mtoto kujifunza mahesabu , sijui mafizikia tunawaharibu sana sana sana mbaya zaidi wanatiwa stiki wakiwa hawawezi kunyoosha miandiko au wakifeli au wakichelewa kushika namba .Moja ya mambo yanayovuruga sana wanadamu ni mambo ya imani ambayo msingi wake ni kuamini bila kuhoji na kuhoji ni sawa na kukufuru(unamezeshwa).
Maajabu zaidi ni kuwa tuna vitabu viwili ambavyo ni Bibilia na Quran, lakini kwasababu watu wamekuja na tafsiri zao za haya maandiko, leo tuna madhehebu kibao kwa kila dini wakati Mungu tunaambiwa ni mmoja.
Matokeo ya hali nii mtu anazaliwa na kukulia katika dhehebu fulani mfano mkatoliki, baadae anahama anakuwa mlokole kwa hoja hawezi kukombolewa kupitia ukatoliki au mtu anzaliwa na kukulia katika ukristo, akikua anaona ukristo sio dini sahihi anahamia kwenye uislamu and vice versa.
Kituko kingine ni mtu kubadili dini kisa kuoa au kuolewa. Huu ndio uthibitisho hizi dini sometimes tunaburuzana tu na wala hatuziheshimu kabisa.
Sasa swali linakuja, kwanini mtoto anapozaliwa asiachwe mpaka awe mtu mzima awezi kufanya maamuzi sahihi afuate dini gani na dhehebu gani au asifuate dini kabisa?
Kama tunaona mtu mwenye umri wa chini ya miaka 18 hawezi kuwa na maamuzi sahihi kwenye sanduku la kura, ni kwanini kwenye mambo sensitive kama haya ya kiimani turuhusu watoto kuburuzwa na wazazi wao kiiamini kwa kutakiwa au kuachwa kufuata dini za wazazi wao?
Mtu anapobadili dini au dhehebu, huwa anatubu kuwa alikuwa amepotoka, na kama hatubu, hiyo dhambi ni nani anastahili kuibeba kama sio mzazi au mlezi?
Tukumbuke baadhi ya hizi dini na madhehebu yametokana tu na mitazamo/tafsiri za wanadamu kama sisi.
Tuwaache watoto mpaka watopofikia utu uzima(walau miaka 21) ndio wachague dini na dhehebu au kutokuwa na dini kabisa wakiona ni sahihi kufanya hivyo.
Tubadilike.
Msingi wa mfumo sahihi wa maisha ni watu wake kujipanga kwa sifa na matendo ya uadilifu na kufanya wema ya kiislam ambayo ndani yake hakuna kituMaana au tafsiri nzuri haviakisi uzuri wa kitu, acha hiyo maana ya mfumo wa maisha, kuna dini ya Mungu, ummat wa mtu fulani n.k yote yana sura nzuri lakini mwenendo, mafundisho, matendo kwa maana ya uhalisia wa ndani hakuna kitu
Uthibitisho msikilize huyo Sheikhe hapoMsingi wa mfumo sahihi wa maisha ni watu wake kujipanga kwa sifa na matendo ya uadilifu na kufanya wema ya kiislam ambayo ndani yake hakuna kitu
Au vitendo vibaya
Thibitisha
Shekhe gn nimsikikize.Uthibitisho msikilize huyo Sheikhe hapo
Pia kuna nchi hizi za Kiisla ambazo zimepiga marufuku kuoa mwanamke zaidi ya mmoja,
Turkey, Tunisia, Albania, Kosovo na Central Asian countries
Kupiga kura na kuabudu ni vitu viwili tofauti kabisa, mnapokosa hoja za kuandika mnakuja na vitu vya ajabu sana.Moja ya mambo yanayovuruga sana wanadamu ni mambo ya imani ambayo msingi wake ni kuamini bila kuhoji na kuhoji ni sawa na kukufuru(unamezeshwa).
Maajabu zaidi ni kuwa tuna vitabu viwili ambavyo ni Bibilia na Quran, lakini kwasababu watu wamekuja na tafsiri zao za haya maandiko, leo tuna madhehebu kibao kwa kila dini wakati Mungu tunaambiwa ni mmoja.
Matokeo ya hali nii mtu anazaliwa na kukulia katika dhehebu fulani mfano mkatoliki, baadae anahama anakuwa mlokole kwa hoja hawezi kukombolewa kupitia ukatoliki au mtu anzaliwa na kukulia katika ukristo, akikua anaona ukristo sio dini sahihi anahamia kwenye uislamu and vice versa.
Kituko kingine ni mtu kubadili dini kisa kuoa au kuolewa. Huu ndio uthibitisho hizi dini sometimes tunaburuzana tu na wala hatuziheshimu kabisa.
Sasa swali linakuja, kwanini mtoto anapozaliwa asiachwe mpaka awe mtu mzima awezi kufanya maamuzi sahihi afuate dini gani na dhehebu gani au asifuate dini kabisa?
Kama tunaona mtu mwenye umri wa chini ya miaka 18 hawezi kuwa na maamuzi sahihi kwenye sanduku la kura, ni kwanini kwenye mambo sensitive kama haya ya kiimani turuhusu watoto kuburuzwa na wazazi wao kiiamini kwa kutakiwa au kuachwa kufuata dini za wazazi wao?
Mtu anapobadili dini au dhehebu, huwa anatubu kuwa alikuwa amepotoka, na kama hatubu, hiyo dhambi ni nani anastahili kuibeba kama sio mzazi au mlezi?
Tukumbuke baadhi ya hizi dini na madhehebu yametokana tu na mitazamo/tafsiri za wanadamu kama sisi.
Tuwaache watoto mpaka watopofikia utu uzima(walau miaka 21) ndio wachague dini na dhehebu au kutokuwa na dini kabisa wakiona ni sahihi kufanya hivyo.
Tubadilike.
Nafikiri hata elimu ya sekula pia tusubiri mpaka afike 24 years maana kumlazimisha mtoto kujifunza mahesabu , sijui mafizikia tunawaharibu sana sana sana mbaya zaidi wanatiwa stiki wakiwa hawawezi kunyoosha miandiko au wakifeli au wakichelewa kushika namba .
Au unaonaje mtoa mada elimu zote za imani na sekula zitolewe kwa wao wakishakuwa vijana wakubwa miaka 24 na kuendelea tena kwa maamuzi yao wenyewe .
Naunga mkono 99%Yaan waafrika tumepokea dini kama dodoki vile, mtu anayepokea jambo tu bila kuhoji huyo ni mtu mfu. Na kama imani ya Buddha ingewahi kuingia huku Afrika kabla ya uislamu na ukristo waafrika tungekuwa Mabuddha now.
Sisi tumerogwa, na aliyeturoga kafa.
Tusaidie tofauti iliyopo kati ya kupiga kura na kuabuduKupiga kura na kuabudu ni vitu viwili tofauti kabisa, mnapokosa hoja za kuandika mnakuja na vitu vya ajabu sana.
Kweli mkuu msingi wa dini lazima ujengwe kuanzia utotoni akishakuwa mkubwa ana machaguzi yake binafsi ila kama mzazi ulishapambana kwa uwezo wako uliojaaaliwa .Mleta uzi ni mkristo au alikuwa mkristo (abishe tuone). Wengi wa hawa wazee wa "hizi dini zifutwe" na wanaoigiza u atheist humu wengi wao ni wakristo waliochanganyikiwa. Wana mashaka na dini yao wanaishia kusema "dini zote hazifai". Wanataka kupoteza na watu wengine wote.
Mkuu hata bibilia haikuandikwa kwa kiswahili bali imetafsiriwa kitu ambacho hata Qur'an pia imetafsiriwa kwa kiswahili na lugha zengine.Labda ungesema "KuziAfrikanize" Dini, na kwa shuruti kuwa Vitabu vyote viandikwe kwa lugha za Kiafrika/Kiswahili, mfano Quruani ambayo bado iko kwenye lugha ya Kigeni/Kiarabu na zile Bible za English.
Wanaoazini Misikitini waazini Kiswahili nk.
Confusions ztapungua sana.
Mbona bado inasomwa Kiarabu?!Qur'an pia imetafsiriwa kwa kiswahili
Kwani mkuu kila jamii ina dini kasoro sisi waafrika au waafrika ndio tunaona tumeletewa dini pekee yetu?Huko China, ukristo na uislamu unachukua sehemu ndogo tu ya jamii ya wachina wengi wao wana dini tofauti kabisa.
Dini ya mwafrika mpaka leo sijui ni ipi iliyosalia .Yaani sisi ni wa kupandikizwa tu imani za watu wengine!!!
Kuabudu kunaanzia utotoni, Baba na Mama wanakwenda kanisani au msikitini na watoto wao ili wamjue Mungu tangu wakiwa wadogo.Tusaidie tofauti iliyopo kati ya kupiga kura na kuabudu
Hiyo ndio lugha yake ila kama unataka tafsiri yake ipo kwa lugha zengine.Mbona bado inasomwa Kiarabu?!
Hata Bible inalugha yake ya Asili lakini leo Wakristo wa Mataifa yote wanasoma Scriptures kwa Lugha zao za Asili.Hiyo ndio lugha yake