The Loyalty King
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 1,298
- 2,124
Dini ni utapeli , Wanasema dini ni mfumo Wa maisha wanatakiwa Wajua hata wahadzabe hawana dini lakini wanamfumo wa maisha , Mfumo Wa maisha upo tu na unatokana na tamaduni Mila za watu wa sehemu husika mfano mdogo ni huu kuna watu Wana Kula nguruwe na wengine hawali yote ni kwasababu Imani na tamaduni zao ni tofauti, so suala la mfumo Wa maisha lipo pale pale hata kama hizo dini zisingelikuwepo ,
Ukitaka ujue dini ni utapeli na uchizi Kwa wanao ziamini ni issues ya msalaba wakristo wakati Wana amini ktk misalaba na kuifanya kuwa ndio symbol ya dini yao Wanashindwa kutambua waasisi wa misalaba walikuwa ni waroma walikuwa wanaitumia misalaba kama silaha ya kuwaadhibia watu waliokuwa hawafuati Sheria za utawala wao wa wakati huo hata Ukitazama series ya Spartacus utakutana na hizo script 😁😁😁😁
Turudi sasa Kwa waislam kuna mafundisho ya baadhi ya hadith yanasema kuwa Moja ya miujiza ya mtume alikuwa ana Ongea mpaka na ngamia yaani wanaongea kabisa kama mtu aongevyo na Mtu mwingine 😆😆😆
Na kuna watu Wana amini huo ujinga
Ili iweze muumini wa hizo dini inatakiwa uwe punguani chizi tena na nusu