Wazo la kabwela
JF-Expert Member
- Feb 13, 2013
- 1,812
- 1,373
habari za muda wana jf dr
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
habari za muda wana jf dr
naomba kuuliza kama mtu katoa momba ya mwezi mmoja hivi alafu akawa na tatizo la kuvuja damu kwa kipindi kama cha wiki mbili na zaidi tatizo linaweza kuwa nn?? na atumie dawa gani/tiba gani??

Hio ni hali ya kawaida mkuu na inategemea mtu na mtu mwingine mpaka mwezi anavuja tu!kama imetolewa na mtaalam wa afya kwenye kituo basi ondoa hofu ila kama imetolewa nyumbani kienyeji au kumeza tu dawa inaweza kueta shida
Mgonjwa aende hospital kwa utaalam
zaidi,akichelewa anaweza akapata maambukizi kwenye kizazi
imetolewa na mtaalam kabisa mkuu
imetolewa na mtaalam kabisa mkuu
Afe tu