William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Le mutuz bana, ukishinda unapewa bilioni ngapi?
Mkuu nilitaka kukupa kazi fulan ya kunitangazia biashara yang lakin ulinipa wasiwasi ya comment zako na follower wang insta mana naona wakicomment sana hawafiki 30 ko nkaona bora niache..mana utakula hela yang bure ko nikaona nikamwombe shishikiuno- Nikishinda the Value of my Instagram Page inaongezeka so nitaanza kulipisha hela kubwa zaidi za matangazo, kama kuna zawadi au hakuna I could careless ila imagine kuanzia Jumamosi Usiku my Instagram Page itakuwa ndio the Best Educational Instagram Page in Tanzania hiyo ni zawadi tosha sana sihitaji hata nyingine zaidi.
le Mutuz
Mkuu nilitaka kukupa kazi fulan ya kunitangazia biashara yang lakin ulinipa wasiwasi ya comment zako na follower wang insta mana naona wakicomment sana hawafiki 30 ko nkaona bora niache..mana utakula hela yang bure ko nikaona nikamwombe shishikiuno
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une
umenichekesha sanaYes mashindano ya mjinga wa mwaka.
Sasa followers wenyew unao wachache mana ndo wanaoona kile unachotangaza ndo mana nikaona bora nimpe tangazo shishi baby kuliko ww labda sabb bei yako elfu 50 kwa tangazo nitaleta ili nipate wateja wa wanaojielewa ambao unawasema ww
- Aliyekuambia wanaonunua vitu vinavyotangazwa ni wanao comment? hahahahaha Una maana wewe una akili ya kutangaza biashara kuliko Vodacom-Tanzania ninaowatangazia matangazo yao? Waulize wanaojua hii biashara ya matangazo what it takes kupewa tangazo na Vodacom, Instagram yangu imejaa akili kubwa sana ndio maana inakubalika sana na Makampuni makubwa kama ASAS, wewe kwanza hata bei huiwezi so nenda huko swekeni pale kwangu huwezi ni pakubwa sana!!
le Mutuz
Sasa followers wenyew unao wachache mana ndo wanaoona kile unachotangaza ndo mana nikaona bora nimpe tangazo shishi baby kuliko ww labda sabb bei yako elfu 50 kwa tangazo nitaleta ili nipate wateja wa wanaojielewa ambao unawasema ww
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yes mashindano ya mjinga wa mwaka.
Ngoja nikakupigie kura le akili nenez- Hapana Elimu haina Umri wala hadhi, nimekuwa nominated as THE BEST EDUCATIONAL INSTAGRAM PAGE I am proud of that!!, wewe kagombee Noble Prize za umri wako hahahahahaha
le Mutuz
Kura zangu umepata le baharia
Eboooo hao wenye mashindano yao Hawana adabu how come wanamshindanisha babu na Wajukuu?
hivi hawaoni kuwa huyu ni babu yao?!
Kisa anatupia mashati makubwa makubwa kama magauni ndio maana wanamuona rika lao eboooo
- Nikishinda the Value of my Instagram Page inaongezeka so nitaanza kulipisha hela kubwa zaidi za matangazo, kama kuna zawadi au hakuna I could careless ila imagine kuanzia Jumamosi Usiku my Instagram Page itakuwa ndio the Best Educational Instagram Page in Tanzania hiyo ni zawadi tosha sana sihitaji hata nyingine zaidi.
le Mutuz
Wote walio kupigia kura wanamatatizo vichwani mwao page yako niliwahi pitia siku moja sikuona kitu cha muhimu ulicho post zaidi ni mapicha umekumbatiana na wanawake,hivi unawafanyia biashara?
Huyu mzee hajishtukii mambo anayoyafanya na umri wake.
Wote walio kupigia kura wanamatatizo vichwani mwao page yako niliwahi pitia siku moja sikuona kitu cha muhimu ulicho post zaidi ni mapicha umekumbatiana na wanawake,hivi unawafanyia biashara?
Hahaha mkuu ushasikia a psychiatric term "mental retardation". Na nina umri wa miaka 25 mkuu nadhani imejieleza vizuri kwenye profile yangu. How old are ypu again?- Siku nikiingia hapa na majina ya bandia kama wewe ndio nitakuwa niemfika mwisho wa maisha yangu hahahahahahah kwani una umri gani mkuu? hahahahahaha
le Mutuz
Kwa kutublock kule hata tukikohoa....utabaki na value yako mwenyewe babu,
Hahaha mkuu ushasikia a psychiatric term "mental retardation". Na nina umri wa miaka 25 mkuu nadhani imejieleza vizuri kwenye profile yangu. How old are ypu again?
The type of people mliozaliwa kwa makusudi ila mnaishi kwa bahati mbaya. We mzee kwanin usijishugulishe kama mzee wako ukaacha legacy? Ukifa unataka kwenye wasifu wako tuseme marehemu alikuwa "king of all bongo social media". What is even ur purpose duniani le akilo kubwaz eti? Its not too late to redefine a new path hata wakina Kentucky Fried chicken wameanza at the age of late 50s. Unao muda wa kubadilika. Unasema kabisa tukutane escape one... ulikula wakati wa kina king kiki na kitambaa cheupe leo unataka ukale na kokoro na akina diamond. We mzee wewe Mungu anakuona
.
Le Mutuz Nation
35 mins · Instagram ·
Huu ndio msimamo wa Matokeo ya kura za kinyang'anyiro cha "THE INSTA AWARDS BEST EDUCATIONAL PAGE"....ndio maana toka jana usiku niliacha kuomba kura yaani hata ukijumlisha namba za washindani wangu bado hazifikii hata nusu ya kura zetu ....thanks Guys kwa ushirikiano wenu....thank U guys kwa kura zenu ...thank U all Wabebezz kwa kura zenu kama kawaida najua sana nimebebwa na Mabebezzz zaidi hahahahaha love U all ....now TUKUTANE leo usiku at Escape One Beach Club kwenye tunzo! .....again I am Super Humbled U know! - le Mutuz Nation
- hahahahahaha tatizo wwewe ni mtu mmoja tu sikuhitaji you are no body, wasalimie hahahahahaha ona matokeo ya kura mpaka jioni hii sasa tukutane usiku wa leo Escape One hahahahahah U know
le Mutuz