mtutuwajambazi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 520
- 310
Si umeona umeanza kujicompare na mimi kiumri na kwamba we bado ni mdogo!? An excuse is quite different from a reason. Sasa iwaje unajustify reasoning toka kwenye excuse tena ya umri. Mimi nimeeleza kwamba nna shaka sio nna uhakika ila deduction yangu inahisi una udumavu wa fikra. We unaanza leta habari ya umri.- Miaka 25 unatukana watu usiowajua kwa majina ya bandia ukifikia miaka 50 utakuwa mganga wa kienyeji hahahahahaha, hahahahahaha sasa kumbe hata umri wangu huujui na huku umeshauzungumzima haha sasa kama sio mental retarded ni nini hahahahahahaha unanivunja mbavu sana kijana mdogo, watoto wote wapo wodi ya Mwaisela Muhimbili sio huku Jamiiforums hahahahahahahah
le Mutuz



