Kama mtu unakubalika kwanini uombe kura?

Kama mtu unakubalika kwanini uombe kura?

- Miaka 25 unatukana watu usiowajua kwa majina ya bandia ukifikia miaka 50 utakuwa mganga wa kienyeji hahahahahaha, hahahahahaha sasa kumbe hata umri wangu huujui na huku umeshauzungumzima haha sasa kama sio mental retarded ni nini hahahahahahaha unanivunja mbavu sana kijana mdogo, watoto wote wapo wodi ya Mwaisela Muhimbili sio huku Jamiiforums hahahahahahahah

le Mutuz
Si umeona umeanza kujicompare na mimi kiumri na kwamba we bado ni mdogo!? An excuse is quite different from a reason. Sasa iwaje unajustify reasoning toka kwenye excuse tena ya umri. Mimi nimeeleza kwamba nna shaka sio nna uhakika ila deduction yangu inahisi una udumavu wa fikra. We unaanza leta habari ya umri.
 
- Seriously huna hoja by the way mashindano yalishaisha na nilishinda kwa kura nyingi sana kuliko wagombea wote so karibu sana na kulia lia kwako sisi tunasonga mbele U know hahahahaha

le Mutuz
 
- Kwani yalikuwa ni mashindano ya umri au kura? hahahahahahaha by the way nilishinda kwa kura nyingi sana au unasema walionipigia kura ni wazee? hahahahahahahahahahah

le Mutuz
waliokupigia kura walikuwa wanaona aibu babu yao kudhalilika kwa kushindanishwa na Wajukuu zake.

alafu babu bomba ulivyokuwa Huna aibu wewe hata hujali kuwa hayo mashindano yanamfaa mwanao na sio wewe.
 
- hahahahahaha kwani mkuu umri wangu unaujua? maana mtoto wa kiume kuanza kulia lia na umri wa wanaume usiowajua ni hatari sana hapa mjini, hahahahahahahhaa kuwa muangalifu sana na mambo ya umri wa wanaume usiowajua inaweza kukufikisha kwingine wanaume wakadhani una jinsia tofauti kumbe ni mwanaume hahahahahahhahaha

le Mutuz
 
- Kwani yalikuwa ni mashindano ya umri au kura? hahahahahahaha by the way nilishinda kwa kura nyingi sana au unasema walionipigia kura ni wazee? hahahahahahahahahahah

le Mutuz
Hongera kwa ushindi ila usibweteke inabidi uwe mbunifu zaidi ili uweze kushinda na nyingine zaidi
 
Si umeona umeanza kujicompare na mimi kiumri na kwamba we bado ni mdogo!? An excuse is quite different from a reason. Sasa iwaje unajustify reasoning toka kwenye excuse tena ya umri. Mimi nimeeleza kwamba nna shaka sio nna uhakika ila deduction yangu inahisi una udumavu wa fikra. We unaanza leta habari ya umri.

- hahahahaha tofauti yetu ni mimi nipo hapa kutengeneza pesa na ninazitengeneza, sasa sijui wewe kwa umri wako kama na wewe unapiga pesa kama mimi au?

le Mutuz
 
waliokupigia kura walikuwa wanaona aibu babu yao kudhalilika kwa kushindanishwa na Wajukuu zake.

alafu babu bomba ulivyokuwa Huna aibu wewe hata hujali kuwa hayo mashindano yanamfaa mwanao na sio wewe.

- lakini walikupigia wewe mtoto mwenzao na hukushinda? hahahahaha nenda kule Instagram uone sasa tangazo ni pesa ndefu na tunaendelea kupiga pesa wewe shikilia umri sisi wacha tupige pesa hahahahahaha ndio maana ya akili ni nywele, kila mtu na zake hahahahahaha!!

le Mutuz
 
Le akili kubwazzzz nipe mbinu ya kupga pesa kupitia social networks

- Be smart controversial person, make sure unakubalika na Public na make sure you have tons of small thinking haters ambao watafikiri kwa kukushambulia wanakuharibia kumbe wanakupaisha kama Media ya USA ilivyompa Free Coverage Donald walidhani wanamharibia kumbe wamemsaidia, na you stay that way controversial all the way utavuta pesa Social Media like me na hakikisha kwamba una AKILI KUBWAZZZZ

le Mutuz
 
- hahahahaha imagine mimi napiga pesa hapa wewe unaingia bure kupoteza muda nani ni kokoro? hahahahahahahaha!!

le Mutuz
Uko na miaka almost 60, Mimi hata nusu yake sijafikia Lakini maendeleo nakuzidi kwa Mbali kabisa. Nani Chokoraa hapa.

Mtu mzima, mwili mkubwa akili umenyimwa. Ptyuuuuuu
 
- Be smart controversial person, make sure ubakubalika na Public na make sure you have tons of small thinking haters ambao watafikiri kwa kukushambulia wanakuharibia kumbe wanakupaisha kama Media ya USA ilivyompa Free Coverage Donald walidhani wanamharibia kumbe wamemsaidia, na you stay that way controversial all the way utavuta pesa Social Media like me na hakikisha kwamba una AKILI KUBWAZZZZ

le Mutuz
Public ipi inayokukubali le shatiz kubwaaz kufunika starlet
 
- Hapana Elimu haina Umri wala hadhi, nimekuwa nominated as THE BEST EDUCATIONAL INSTAGRAM PAGE I am proud of that!!, wewe kagombee Noble Prize za umri wako hahahahahaha

le Mutuz

Mkuu hizo tuzo za instagram Mange hayupo? nataka nikampigie kura yangu pia
 
Back
Top Bottom