Kama Mtume Muhammad SAW ndiye Mtume wa mwisho wa Mwenyezi Mungu hawa akina Mwamposa na wenzake ni Mitume wa nani?

Mungu ni mmoja ndio sababu kuna Yesu kwa Wakristo na Issa bin Mariam kwa Waislamu ni yule yule

Kuna Moses kwa Wakristo na Mussa kwa Waislamu ni yule yule

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿผ๐Ÿผ๐Ÿผ๐Ÿ˜„๐Ÿ”ฅ
Hapana Isa alikuwa zeluzelu
 
Moody sio mtume wa Mungu,alipokea false revelation kutoka kuzimu.

Holy spirit alivyomaliza kuandika bible,alitoa onyo mtu yeyote asiongeze wala kupunguza neno lolote kwenye bible.(Ufu 22:18-19)

Ila moody kwa ubishi akapokea false revelation,ufunuo uliokinyume na mitume wengine wote(Anti-christ revelation) akawalisha watu matango pori.
Una kapweinti lakini hujakaweka sawa
 
Hao kina mwamposa na wenzake wa aina hiyo ni mitume wa mchongo, mitume gani hao wala bata? Unakuta mtume anaendesha gari la kifahari, ana jumba la kifahari, shavu dodo, huyo ni mtume gani? Mitume wanajulikana kwa sifa mahsusi. Huyo mtume muhammad ni wa umma wa kiislam, kwa wengine hatambuliki na haaminiki mafundisho yake naye anaingia katika kundi moja la manabii wa uongo kutokea duniani
 
Muhamadi nae ni wa uongo tu iwaje yeye awe wa mwisho kuja lakin siku za mwisho ataekuja kwaajili ya unyakuo awe ni Yesu
 
Nimemsikia shehe wa DSM sheikh Walid akisema Mtume Muhammad SAW ndiye Mtume wa mwisho wa Mwenyezi Mungu

Swali:

Hawa akina Mtume Mwamposa na wenzake ambao sheikh mstaafu wa mkoa wa DSM Alhad Musa Salum alisema hata wake za mashehe wanaenda Kawe kuombewa ni Mtume wa ngapi na wa nani?
Muhammad mwenyewe sio mtume wala si chochote. Hatambuliki na maandiko yote yaliomtangulia. Waislamu wana fungus kichwani.
 
Mungu ni mmoja
Hapana mungu sio mmoja, mungu wa kikristo (Yesu) na mungu wa kiislamu(allah) wana ideology na mitazamo tofauti kabisa.

Yesu kwa Wakristo na Issa bin Mariam kwa Waislamu ni yule yule
Wakristo hapa ndo tunapofeli, tunapo mfananisha Yesu kristo na Muhammad, au tunapomfananisha Yesu kristo na Issa bin Mariam na tunapomfananisha Yehovah na Allah.
Yesu na Issa ni characters tofauti kabisa, japokuwa waislamu wanalazimisha sana kumtambulisha Issa kama ndo huyohuyo yesu ila wanajidanfanya tuu.
Eye witnesses kama mathayo, Yohana na Petro waliotembea na yesu na kuishi naye wamerekodi matukio yake na wakatuthibitishia kwamba yesu alibatizwa, alikufa na kufufuka na yeye ndiye mwana wa mungu aliye hai, cha kushangaza anakuja mwarabu mmoja kutoka saudia miaka 600 baada ya yesu, hajamwona yesu, hajatembea nae, hajawahi kuongea na mwanafunzi yeyote wa yesu hata mmoja, alaf analeta story yake kuhusu mtu asiyemjua na watu wanamwamini, it doesn't even make sense.

Yesu na Issa ni two different characters.
Mmoja tumepata historia yake yote kupitia eye witnesses walioishi nae na mwingine tulisimuliwa na mwarabu wa saudia ambaye hakuwa na ukaribu wowote na yesu hata wanafunzi wake.
 
Huo utume wa kupewa na ccm nao ni utume kweli?
 
Nimemsikia shehe wa DSM sheikh Walid akisema Mtume Muhammad SAW ndiye Mtume wa mwisho wa Mwenyezi Mungu

Swali:

Hawa akina Mtume Mwamposa na wenzake ambao sheikh mstaafu wa mkoa wa DSM Alhad Musa Salum alisema hata wake za mashehe wanaenda Kawe kuombewa ni Mtume wa ngapi na wa nani?
Muhammad ni mtume wa mungu feki anayeitwa Allah hao wengine ni mitume wa Mungu wa kweli,Mungu wa Israel,Mungu wa Isaka,Mungu wa Ibrahim lakini ni kama wanamaanisha wanayoyafanya.
 
Hapana mungu sio mmoja, mungu wa kikristo (Yesu) na mungu wa kiislamu(allah) wana ideology na mitazamo tofauti kabisa.

Wakristo hapa ndo tunapofeli, tunapo mfananisha Yesu kristo na Muhammad, au tunapomfananisha Yesu kristo na Issa bin Mariam na tunapomfananisha Yehovah na Allah.
Yesu na Issa ni characters tofauti kabisa, japokuwa waislamu wanalazimisha sana kumtambulisha Issa kama ndo huyohuyo yesu ila wanajidanfanya tuu.
Eye witnesses kama mathayo, Yohana na Petro waliotembea na yesu na kuishi naye wamerekodi matukio yake na wakatuthibitishia kwamba yesu alibatizwa, alikufa na kufufuka na yeye ndiye mwana wa mungu aliye hai, cha kushangaza anakuja mwarabu mmoja kutoka saudia miaka 600 baada ya yesu, hajamwona yesu, hajatembea nae, hajawahi kuongea na mwanafunzi yeyote wa yesu hata mmoja, alaf analeta story yake kuhusu mtu asiyemjua na watu wanamwamini, it doesn't even make sense.

Yesu na Issa ni two different characters.
Mmoja tumepata historia yake yote kupitia eye witnesses walioishi nae na mwingine tulisimuliwa na mwarabu wa saudia ambaye hakuwa na ukaribu wowote na yesu hata wanafunzi wake.
Sure mfano Mungu wa Wakristo yeye Mbigu yake ni kuabudu na kusifu na huku kwingine ni mwendo wa ngono tu na wanawake 72.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom