Kama Mungu alikuokoa na risasi 30+, hata hili hatakuacha weka Imani kwake kaka yetu

Fukua

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2022
Posts
565
Reaction score
526
Habarini wote

Kwa hii kesi ya Lissu, CCM chama changu, serikali yangu ya mama Samia, mahakama zetu, na WA Tanzania msiompenda huyu kaka mmeniumiza sana. Kwa kuwa mimi ni mcha Mungu nimemwachia ashughulike nalo na ninaamini hawezi kumwacha.

Kaka Lissu hakuna haja ya kufikiri kwamba watu Hawa utawashinda kisheria, wamejipanga Kwa uovu wote.
Nilikuwa maombini kukuombea Kwa Mungu anipe majibu, kweli majibu ni makali sana Kwa kigenge Cha mtandao

Dunia Iko nyuma Yako, watanzania wema wako nyuma Yako, kubwa ni Mungu Yuko upande wako, malengo Yao ni kuchelewesha mpango wa Mungu wa ukombozi Kwa taifa letu hasa uchaguzi huu.

Kama wakristo tunavyofunga Kwa hiari Ili tujibiwe maombi, ninakushauri na wewe huko gerezani funga kutokula Wala kunywa chochote Kwa siku arobaini.
Njaa ya Imani haitakuua kamwe. Kwani hakuna kitu wanaogopa kama afya Yako Kwa Sasa.

Tunafahamu wewe ni jasiri sana. Tabasamu na ukakamavu wako unaendelea kuwaongezea nguvu ya kukutesa zaidi.
 
Maombi wameanza kujibiwa.

Siku hizi ukimsukuma Tu masiha unavuta chapu
 
Attachments

  • downloadfile-25.jpg
    downloadfile-25.jpg
    104.4 KB · Views: 30
Tujiandae kutengwa na mataifa, kwa uchafu huu hawatatuelewa kabisa.
 
kwanını hmtakı kesı ısıkılızwe, au kuna jambo hapo, subırını tusıkılıze kesı ndıo mjue kaonewa au laa, achenı mahakama ıfanye kazı yake. km ıkıtokea kaonewa hapo ndıo tutatoa lawama, huyu jamaa alımtukana sana mbowe pengıne mdomo wake umetengeneza laana juu yake,

Mathayo 5:21-
Lakini mimi nawaambieni, yeyote anayemkasirikia ndugu yake, lazima ahukumiwe. Anayemdharau ndugu yake atapelekwa mahakamani. Anayemwita ndugu yake: ‘Pumbavu’ atastahili kuingia katika moto wa Jehanamu. “Basi, ukipeleka sadaka yako mbele ya madhabahu na hapo ukakumbuka kwamba ndugu yako ana ugomvi nawe, iache sadaka yako mbele ya madhabahu, nenda kwanza ukapatane na ndugu yako, ndipo urudi utoe sadaka yako. “Patana na mshtaki wako upesi mkiwa bado njiani kwenda mahakamani. La sivyo, mshtaki wako atakukabidhi kwa hakimu, naye hakimu atakukabidhi kwa askari, nawe utafungwa gerezani. Kweli nakuambia, hutatoka humo mpaka umelipa senti ya mwisho.
 
Habarini wote

Kwa hii kesi ya Lissu, CCM chama changu, serikali yangu ya mama Samia, mahakama zetu, na WA Tanzania msiompenda huyu kaka mmeniumiza sana. Kwa kuwa mimi ni mcha Mungu nimemwachia ashughulike nalo na ninaamini hawezi kumwacha.

Kaka Lissu hakuna haja ya kufikiri kwamba watu Hawa utawashinda kisheria, wamejipanga Kwa uovu wote.
Nilikuwa maombini kukuombea Kwa Mungu anipe majibu, kweli majibu ni makali sana Kwa kigenge Cha mtandao

Dunia Iko nyuma Yako, watanzania wema wako nyuma Yako, kubwa ni Mungu Yuko upande wako, malengo Yao ni kuchelewesha mpango wa Mungu wa ukombozi Kwa taifa letu hasa uchaguzi huu.

Kama wakristo tunavyofunga Kwa hiari Ili tujibiwe maombi, ninakushauri na wewe huko gerezani funga kutokula Wala kunywa chochote Kwa siku arobaini.
Njaa ya Imani haitakuua kamwe. Kwani hakuna kitu wanaogopa kama afya Yako Kwa Sasa.

Tunafahamu wewe ni jasiri sana. Tabasamu na ukakamavu wako unaendelea kuwaongezea nguvu ya kukutesa zaidi.

Mathayo 5:21-
Lakini mimi nawaambieni, yeyote anayemkasirikia ndugu yake, lazima ahukumiwe. Anayemdharau ndugu yake atapelekwa mahakamani. Anayemwita ndugu yake: ‘Pumbavu’ atastahili kuingia katika moto wa Jehanamu. “Basi, ukipeleka sadaka yako mbele ya madhabahu na hapo ukakumbuka kwamba ndugu yako ana ugomvi nawe, iache sadaka yako mbele ya madhabahu, nenda kwanza ukapatane na ndugu yako, ndipo urudi utoe sadaka yako. “Patana na mshtaki wako upesi mkiwa bado njiani kwenda mahakamani. La sivyo, mshtaki wako atakukabidhi kwa hakimu, naye hakimu atakukabidhi kwa askari, nawe utafungwa gerezani. Kweli nakuambia, hutatoka humo mpaka umelipa senti ya mwisho.
 
kule kumwetu kwa fasi ya mbuji mayi tunaita MASASI.....tunayajua MASASI..! MASASI THELATHINI🤤
 
Imani kwa Mungu, na imani kwa ushoga ni kama mashariki na magharibi, havichangamani kamwe.
 
Back
Top Bottom