Niemefurahi sana!! kazi yangu humo imo!! daaa safi sana kuuumbe inafikiriwaga sana na watoto ngoja nikapendishe drs kwanza!!.....
cha ajabu waalimu wao wanao wafundisha hawafikirii kuchukua kazi zao!! mweee!! haya basi uhasibu pia hawatki??uandishi wa habari je?? wafanya biashra?? dalali wakulima wakubwaaa duu na ndo kwenye hela huko!