Kama Mungu hayupo, umaarufu wake unatoka wapi?

Mbona neno 'hakuna' umeliacha? Hukuliona?
Sasa hujaelewa nini? Haukusema hakuna maelezo ila umesema hakuna maelezo yenye kuridhisha,na ndiyo Mimi nayataka hayo maelezo ambayo hayaja kuridhisha wewe.
 
Mkuu have you heard Titanic history
 
What was the reason for it to sunk
You must mean what was the reason for it to sink. When answering, I can say "It sunk because..."

The commonly accepted root cause is that it sunk because it hit an iceberg at near top speed.

You have not answered me, why are you asking me about the sinking of the Titanic in a thread that discusses the existence of god?

The sinking of The Titanic shows that an all loving, all knowing and all powerful does not exists. If he existed, he would have made a universe in which ships do not sink.

Why did he not create that universe and he chose to create this one in which ships can sink instead?

Sinking of the RMS Titanic - Wikipedia, the free encyclopedia

 
Habarini humu!

Moja kati ya maswali ambayo najiuliza ni kama Mungu hayupo sasa mbona ni jina maarufu sana, nafikiri ni jina pekee lenye kuabudiwa kwa namna tofauti tofauti.. sasa kama hayupo kwanini anaabudiwa kiasi hiki Dunia nzima!.

This is worth another go.

Anayeabudiwa dunia nzima si mungu mmoja, ni vitu vingi tofauti tofauti.

Na kama alitungwa tu na binadamu, hao waliomtunga huyu Mungu wako wapi?.

Ametungwa kwa maelfu ya miaka ya tamaduni na hadithi

inawezekanaje waliomtunga Mungu wasiwe maarufu kuliko Mungu mwenyewe?.

Jinsi ilivyowezekana kwa James Bond kuwa maarufu uliko Ian Fleming na Willy Gamba kuwa maarufu kuliko Aristablus Elvis Musiba.

Ni nani ana ushahidi wa wazi kuhusu watu waliomtunga Mungu, wapo wapi na ni akina nani waliotunga tu uwepo wa Mungu?.

Ushahidi kwamba mungu hayupo ni logical inconsistency na contradictions.

Soma Zaidi kuhusu mfalme Constantin alivyoitisha "Council of Nicea"

Council of Nicaea | Christianity [325]

First Council of Nicaea - Wikipedia, the free encyclopedia

Unajua kwamba hiyo Biblia kwa mfano, ni watu tu waliamua vitabu gani viwemo katika Biblia na vingine visiwe katika Biblia? Mfalme wa Warumi ndio kaagiza Biblia iweje, unafahamu hili?


Nani kasema anataka kuthibitisha kwa macho?

Pia watu wengi ambao wanapinga uwepo wa Mungu just kwa sababu hathibitishiki kimwili hawapingi uwepo wa shetani japo naye pia hata hathibitishiki kimwili, why?.

Nani kapinga kimwili? Mimi napinga uwepo wa shetani, kwa mtu kama mimi utaniambiaje?


Kwa sababu Mungu ni idea, hao watunzi ni watu. Ukitunga idea unaweza kuipa nguvu yoyote. Ukiwa mtu una mipaka ya nguvu zako.

Ndiyo maana James Bond anajulikana kuliko Ian Fleming aliyemtunga, na Willy Gamba anajulikana kuliko Aristablus Elvis Musiba aliyemtunga.
 
Unaweza kukusanya sabababu zaidi ya 1000 za kupinga uwepo wa mungu,lakini bado inahitajika imani ili useme hakuna mungu. Kuishia kuwa na rundo la sababu za kupinga mungu haitoshi maana hata wenye kuamini mungu pia wana rundo la sababu za kufanya waseme mungu yupo.
 
Nashukuru Mungu kwa kunipa uhai na afya njema
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…