Kama Mungu hayupo, umaarufu wake unatoka wapi?

Kama Mungu hayupo, umaarufu wake unatoka wapi?

Mbona neno 'hakuna' umeliacha? Hukuliona?
Sasa hujaelewa nini? Haukusema hakuna maelezo ila umesema hakuna maelezo yenye kuridhisha,na ndiyo Mimi nayataka hayo maelezo ambayo hayaja kuridhisha wewe.
 
Mungu huyu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kifupi, hayupo na hawezi kuwepo.

Hayupo na hawezi kuwepo kwa sababu ndogo tu.

Ameshindwa kupasi mtihani mdogo tu wa akili ndogo tu ya kibinadamu.

Mtihani wa logical consistency.

Ameshindwa (rather idea ya kuwepo kwake imeshindwa, yeye hayupo hivyo hajashindwa kwa sababu hayupo) mtihani wa logical consistency kwa sababu ana contradiction.

Ana contradiction kwa nini?

Kwa sababu, mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote, alitakiwa kuwa na upendo mkubwa kuliko upendo wowote wa kibinadamu, alitakiwa kuwa na uwezo mkubwa kuliko uwezo wowote wa kibinadamu na alitakiwa kuwa na ujuzi kuliko ujuzi wowote wa kibinadamu.

Tunajua kuna binadamu wana upendo kiasi hawawezi kuacha kibaya chochote ambacho kipo katika uwezo wao wa kukizuia kitokee.

Huyu mungu ambaye ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, halafu bado akaamua kuumba ulimwengu ambao mabaya na shetani wanaweza kutokea, ana ji cintradict.

Ana opwrate katika standards zilizo lower than standarda za watu.

Kazini kwetu ukiwa software engineer, halafu ukawa na uwezo wa kutengeneza software system (universe) ambayo haina failures (evil), na bado ukatengeneza software system ambayo ina failures, failures zikatokea, unakuwa fired.

Kwa nini sisi binadamu tujiwekee standards kubwa zaidi ya standards tunazomuwekea mungu?

Mungu huyu hayupo. Kwa sababu angekuwepo, ulimwengu huu wenye mabaya usingekuwepo.
Mkuu have you heard Titanic history
 
What was the reason for it to sunk
You must mean what was the reason for it to sink. When answering, I can say "It sunk because..."

The commonly accepted root cause is that it sunk because it hit an iceberg at near top speed.

You have not answered me, why are you asking me about the sinking of the Titanic in a thread that discusses the existence of god?

The sinking of The Titanic shows that an all loving, all knowing and all powerful does not exists. If he existed, he would have made a universe in which ships do not sink.

Why did he not create that universe and he chose to create this one in which ships can sink instead?

Sinking of the RMS Titanic - Wikipedia, the free encyclopedia

Titanic received six warnings of sea ice on 14 April but was travelling near her maximum speed when her lookouts sighted the iceberg. Unable to turn quickly enough, the ship suffered a glancing blow that buckled her starboard (right) side and opened five of her sixteen compartments to the sea
 
Habarini humu!

Moja kati ya maswali ambayo najiuliza ni kama Mungu hayupo sasa mbona ni jina maarufu sana, nafikiri ni jina pekee lenye kuabudiwa kwa namna tofauti tofauti.. sasa kama hayupo kwanini anaabudiwa kiasi hiki Dunia nzima!.

This is worth another go.

Anayeabudiwa dunia nzima si mungu mmoja, ni vitu vingi tofauti tofauti.

Na kama alitungwa tu na binadamu, hao waliomtunga huyu Mungu wako wapi?.

Ametungwa kwa maelfu ya miaka ya tamaduni na hadithi

inawezekanaje waliomtunga Mungu wasiwe maarufu kuliko Mungu mwenyewe?.

Jinsi ilivyowezekana kwa James Bond kuwa maarufu uliko Ian Fleming na Willy Gamba kuwa maarufu kuliko Aristablus Elvis Musiba.

Ni nani ana ushahidi wa wazi kuhusu watu waliomtunga Mungu, wapo wapi na ni akina nani waliotunga tu uwepo wa Mungu?.

Ushahidi kwamba mungu hayupo ni logical inconsistency na contradictions.

Soma Zaidi kuhusu mfalme Constantin alivyoitisha "Council of Nicea"

Council of Nicaea | Christianity [325]

First Council of Nicaea - Wikipedia, the free encyclopedia

Unajua kwamba hiyo Biblia kwa mfano, ni watu tu waliamua vitabu gani viwemo katika Biblia na vingine visiwe katika Biblia? Mfalme wa Warumi ndio kaagiza Biblia iweje, unafahamu hili?

Of course ni ngumu kuthibitisha uwepo wake kwa njia na kwa macho ya mwili ila effect yake ipo dhahiri kabisa, sioni kama kuna sababu ya kukataa uwepo wake eti kisa hatuwezi kumthibitisha, mwana huwezi kukithibitisha kitu usichokijua, na haina maana kama kitu hukijui basi hakipo..

Nani kasema anataka kuthibitisha kwa macho?

Pia watu wengi ambao wanapinga uwepo wa Mungu just kwa sababu hathibitishiki kimwili hawapingi uwepo wa shetani japo naye pia hata hathibitishiki kimwili, why?.

Nani kapinga kimwili? Mimi napinga uwepo wa shetani, kwa mtu kama mimi utaniambiaje?

Anyway, kwa sababu wanaopinga uwepo wa Mungu wanasema Mungu ni nadharia tu na ametungwa tu na watu, sasa hao watu wanatungaje jina ambalo linaabudiwa kuliko wao? tena ni jina maarufu na kila lugha Duniani lina namna yake ya kumwita ili mradi tu lazima jina Mungu liwepo na liabudiwe.

Kwa sababu Mungu ni idea, hao watunzi ni watu. Ukitunga idea unaweza kuipa nguvu yoyote. Ukiwa mtu una mipaka ya nguvu zako.

Ndiyo maana James Bond anajulikana kuliko Ian Fleming aliyemtunga, na Willy Gamba anajulikana kuliko Aristablus Elvis Musiba aliyemtunga.
 
Unaweza kukusanya sabababu zaidi ya 1000 za kupinga uwepo wa mungu,lakini bado inahitajika imani ili useme hakuna mungu. Kuishia kuwa na rundo la sababu za kupinga mungu haitoshi maana hata wenye kuamini mungu pia wana rundo la sababu za kufanya waseme mungu yupo.
 
Nashukuru Mungu kwa kunipa uhai na afya njema
 
Ukirudia ule uzi wangu wa MAKOSA 10 ALIYOTENDA MUNGU, utapata sababu ya kumwachisha kazi....Mimi tangu nikiwa na miaka 4 hii concept ya kusema Mungu yupo iligoma kuregister kwenye akili yangu kabisa....nina mengi ya kusema ila bado sijajipanga vizuri...ila kuna haja ya kuanzisha FREE THINKER SOCIETY kwa lengo la kukomboa wanyonge wenye utumwa wa kifikra.
 
Back
Top Bottom