Na hii ndio inaprove zaidi uwepo wake kwa wake waaminio haya yote yalishatabiriwa nyakati hizi.ukitaka kupima akili ya mtu zungumzia swala la mungu ndio unaweza kugundua kwamba humu jf kuna matahira wengi sana.
lakini ninauhakika kufikia mwaka 2050 watanzania wengi watakuwa wamejua mungu hayupo.
Mungu ni yuleyule maana yake tabia zake hazibadiliki we di reflect his word which is never change his principles are forever the same.Anakwambia uwezo wa mungu hauchunguziki, hapo kashakuambia mungu ni yule yule jana leo na milele.
Kama uwezo wa mungu hauchunguziki, huyu kajuaje mungu ni yule yule jana leo na milele?
Can you prove Satan exists?Reflections of the rapid growth of satanism
Unaweza ku prove yupo?Imani ina nguvu kuliko chochote unachokijua, ukiamini kwamba hayupo kweli maishani mwako hatakuwepo pia
Shetani, mapepo na majini yapo au hayapo?ukitaka kupima akili ya mtu zungumzia swala la mungu ndio unaweza kugundua kwamba humu jf kuna matahira wengi sana.
lakini ninauhakika kufikia mwaka 2050 watanzania wengi watakuwa wamejua mungu hayupo.
Mungu hayupo.
Idea ya Mungu kuwapo inapata umaarufu kwa sababu watu wengi wavivu hawataki kufikiri na hawataki kuchukua responsibility, wanataka mungu awepo ili achukue dhamana ya kutatua mambo yote.
Pia watu wengi hawafikirii logically, wanafikiria emotionaly.
Pia watu wengi wanaogopa kusema wanachofikiri na ku question uwepo wa mungu kwa sababu wanaogopa kuonekana wako tofauti.
Pia kusema huamini kuwepo mungu kunaweza kukukosanisha na familia, jamaa, rafiki, kazini etc.
Kitu kukubalika haina maana ni cha kweli. Kuna wakati watu waliamini dunia ni bapa na si tufe. Hilo halikufanya dunia iwe bapa.
Kuna wakati watu waliamini jua linazunguka dunia. Hilo halikufanya jua lizunguke dunia.
Hata kama watu wote wataamini mungu yupo, kama hayupo hayupo tu.
Kama unasema mungu yupo, thibitisha mungu yupo.
Nipo sana tu. Labda tunapishana tu hapa.
Sijapata majibu ya maswali yangu bado.
Ya wew ndio mvivu kufikilia kama ukaa darasani kidogo tu kwa elimu yetu ya bongo inaweza kukisaidiMungu hayupo.
Idea ya Mungu kuwapo inapata umaarufu kwa sababu watu wengi wavivu hawataki kufikiri na hawataki kuchukua responsibility, wanataka mungu awepo ili achukue dhamana ya kutatua mambo yote.
Pia watu wengi hawafikirii logically, wanafikiria emotionaly.
Pia watu wengi wanaogopa kusema wanachofikiri na ku question uwepo wa mungu kwa sababu wanaogopa kuonekana wako tofauti.
Pia kusema huamini kuwepo mungu kunaweza kukukosanisha na familia, jamaa, rafiki, kazini etc.
Kitu kukubalika haina maana ni cha kweli. Kuna wakati watu waliamini dunia ni bapa na si tufe. Hilo halikufanya dunia iwe bapa.
Kuna wakati watu waliamini jua linazunguka dunia. Hilo halikufanya jua lizunguke dunia.
Hata kama watu wote wataamini mungu yupo, kama hayupo hayupo tu.
Kama unasema mungu yupo, thibitisha mungu yupo.
Mzee unaroho ngmuLucifer ndiye mwenye nguvu kuliko mungu.wew huoni maovu mengi yakifanyika kuliko mazuri?
Wewe unayenisema mimi mvivu ni mvivu kiasi hata spelling za Kiswahili zinakushinda.Ya wew ndio mvivu kufikilia kama ukaa darasani kidogo tu kwa elimu yetu ya bongo inaweza kukisaidi
kuthibisha uwepo wake ,kwani hadhihiliki kwa milango ya fahamu,labda nikuulize swali moja we unaamini uchawi upo?
Unaweza kuthibitisha Lucifer na Mungu wapo na si hadithi tu?Lucifer ndiye mwenye nguvu kuliko mungu.wew huoni maovu mengi yakifanyika kuliko mazuri?
Naona washikaji wameamua kugonga selfi kwa pamoja...[emoji2] [emoji2]
Mkuu ya Caesar mpe yeye ya mungu yapo kiiman zaidUnaweza ku prove yupo?
Mkuu ya Caesar mpe yeye ya mungu yapo kiiman zaid
Unaweza kuthibitisha yeyote kati ya hao yupo na si hadithi tu?Hi hi hi. Kuna Mungu na mungu jamani..