Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
Unthibitishable.. Ila kumbuka ni suala la imani tu. Anaeamin Mungu yupo na asiyeamin wote wanaongozwa na iman. Haijalishi kuweza kuthibitisha au kutoweza..Unaweza kuthibitisha yeyote kati ya hao yupo na si hadithi tu?
Unthibitishable.. Ila kumbuka ni suala la imani tu. Anaeamin Mungu yupo na asiyeamin wote wanaongozwa na iman. Haijalishi kuweza kuthibitisha au kutoweza..
Nakuelewa mkuu.. Kwa hao wote wawili iman zao zote zitakua zina make sense . Ila moja itamake sense zaidi ikifika kesho ambapo hua litaonekana asubuhi...Anayeamini jua litachomoza kesho asubuhi na asiyeamini jua litachomoza kesho asubuhi wote wanaongozwa na imani.
Hakuna aliye na uhakika kwamba jua litachomoza kesho asubuhi.
Lakini je, imani zote mbili hizi ni sawa kwa sababu zote ni imani?
Au kuna moja ina make sense zaidi hata kama bado ni imani?
Nakuelewa mkuu.. Kwa hao wote wawili iman zao zote zitakua zina make sense . Ila moja itamake sense zaidi ikifika kesho ambapo hua litaonekana asubuhi...
2050 ni mbali sana...watu waacha ku transpose majukumu yao kwenda kwa huyo anayeitwa Mungu...Inabidi watu waelimishwe kiukamilifu.ukitaka kupima akili ya mtu zungumzia swala la mungu ndio unaweza kugundua kwamba humu jf kuna matahira wengi sana.
lakini ninauhakika kufikia mwaka 2050 watanzania wengi watakuwa wamejua mungu hayupo.
We ngumbalu kabisa,ile hali ya wew kujua haya maovu tu vipi unaimani kuwa mungu yupo,kwani umejuaje kuwa haya ni maovu?umelinganisha na nini kujua kuwa ni maovuWewe unayenisema mimi mvivu ni mvivu kiasi hata spelling za Kiswahili zinakushinda.
Hujui kwamba "kufikilia" si neno la Kiswahili in context, neno sahihi ni "kufikiria"?
Hujui kwamba "hadhihiliki" si neno la Kwahili, neno sahihi ni "hadhihiriki" ?
Wewe unayenisema mimi kwamba mungu hadhihiriki kwa milango ya fahamu unatumia nini kumuelewa?
Wapi umeona nimeishia kwenye milango ya fahamu?
Mimi siamini uchawi, kwa nini niamini uchawi?
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao uovu unawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao uovu hauwezekani?
hayapo.Shetani, mapepo na majini yapo au hayapo?
Mungu huyu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kifupi, hayupo na hawezi kuwepo.2050 ni mbali sana...watu waacha ku transpose majukumu yao kwenda kwa huyo anayeitwa Mungu...Inabidi watu waelimishwe kiukamilifu.
LUCIFER maana yake LIGHT BRINGING, MORNING STAR ..VENUS ....Lucifer ndiye mwenye nguvu kuliko mungu.wew huoni maovu mengi yakifanyika kuliko mazuri?
Trust me yupo! THE ALMIGHTY SUPREME CREATOR OF THE WHOLE UNIVERS. ..Mungu huyu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kifupi, hayupo na hawezi kuwepo.
Hayupo na hawezi kuwepo kwa sababu ndogo tu.
Ameshindwa kupasi mtihani mdogo tu wa akiki ndogo tu ya kibinadamu.
Mtihani wa logical consistency.
Ameshindwa (rather idea ya kuwepo kwake imeshindwa, yeye hayupo hivyo hajashindwa kwa sababu hayupo) mtihani wa logical consistency kwa sababu ana contradiction.
Ana contradiction kwa nini?
Kwa sababu, mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote, alitakiwa kuwa na upendo mkubwa kuliko upendo wowote wa kibinadamu, alitakiwa kuwa na uwezo mkubwa kuliko uwezo wowote wa kibinadamu na alitakiwa kuwa na ujuzi kuliko ujuzi wowote wa kibinadamu.
Tunajua kuna binadamu wana upendo kiasi hawawezi kuacha kibaya chochote ambacho kipo katika uwezo wao wa kukizuia kitokee.
Huyu mungu ambaye ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, halafu bado akaamua kuumba ulimwengu ambao mabaya na shetani wanaweza kutokea, ana ji cintradict.
Ana opwrate katika standards zilizo lower than standarda za watu.
Kazini kwetu ukiwa software engineer, halafu ukawa na uwezo wa kutengeneza software system (universe) ambayo haina failures (evil), na bado ukatengeneza software system ambayo ina failures, failures zikatokea, unakuwa fired.
Kwa nini sisi binadamu tujiwekee standards kubwa zaidi ya standards tunazomuwekea mungu?
Mungu huyu hayupo. Kwa sababu angekuwepo, ulimwengu huu wenye mabaya usingekuwepo.
Ukirudia ule uzi wangu wa MAKOSA 10 ALIYOTENDA MUNGU, utapata sababu ya kumwachisha kazi....Mimi tangu nikiwa na miaka 4 hii concept ya kusema Mungu yupo iligoma kuregister kwenye akili yangu kabisa....nina mengi ya kusema ila bado sijajipanga vizuri...ila kuna haja ya kuanzisha FREE THINKER SOCIETY kwa lengo la kukomboa wanyonge wenye utumwa wa kifikra.Mungu huyu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kifupi, hayupo na hawezi kuwepo.
Hayupo na hawezi kuwepo kwa sababu ndogo tu.
Ameshindwa kupasi mtihani mdogo tu wa akiki ndogo tu ya kibinadamu.
Mtihani wa logical consistency.
Ameshindwa (rather idea ya kuwepo kwake imeshindwa, yeye hayupo hivyo hajashindwa kwa sababu hayupo) mtihani wa logical consistency kwa sababu ana contradiction.
Ana contradiction kwa nini?
Kwa sababu, mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote, alitakiwa kuwa na upendo mkubwa kuliko upendo wowote wa kibinadamu, alitakiwa kuwa na uwezo mkubwa kuliko uwezo wowote wa kibinadamu na alitakiwa kuwa na ujuzi kuliko ujuzi wowote wa kibinadamu.
Tunajua kuna binadamu wana upendo kiasi hawawezi kuacha kibaya chochote ambacho kipo katika uwezo wao wa kukizuia kitokee.
Huyu mungu ambaye ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, halafu bado akaamua kuumba ulimwengu ambao mabaya na shetani wanaweza kutokea, ana ji cintradict.
Ana opwrate katika standards zilizo lower than standarda za watu.
Kazini kwetu ukiwa software engineer, halafu ukawa na uwezo wa kutengeneza software system (universe) ambayo haina failures (evil), na bado ukatengeneza software system ambayo ina failures, failures zikatokea, unakuwa fired.
Kwa nini sisi binadamu tujiwekee standards kubwa zaidi ya standards tunazomuwekea mungu?
Mungu huyu hayupo. Kwa sababu angekuwepo, ulimwengu huu wenye mabaya usingekuwepo.
Na hii ndio inaprove zaidi uwepo wake kwa wake waaminio haya yote yalishatabiriwa nyakati hizi.
We ngumbalu kabisa,ile hali ya wew kujua haya maovu tu vipi unaimani kuwa mungu yupo,kwani umejuaje kuwa haya ni maovu?umelinganisha na nini kujua kuwa ni maovu
Kwani kama mtu akiamini Mungu yupo anaathirika na kitu gani by good faith kama Christianity.Ukirudia ule uzi wangu wa MAKOSA 10 ALIYOTENDA MUNGU, utapata sababu ya kumwachisha kazi....Mimi tangu nikiwa na miaka 4 hii concept ya kusema Mungu yupo iligoma kuregister kwenye akili yangu kabisa....nina mengi ya kusema ila bado sijajipanga vizuri...ila kuna haja ya kuanzisha FREE THINKER SOCIETY kwa lengo la kukomboa wanyonge wenye utumwa wa kifikra.
LUCIFER maana yake LIGHT BRINGING, MORNING STAR ..VENUS ....
Kwani kama mtu akiamini Mungu yupo anaathirika na kitu gani by good faith kama Christianity.
I don't want to trust.Trust me yupo! THE ALMIGHTY SUPREME CREATOR OF THE WHOLE UNIVERS. ..
First i feel concerned na hilo tatizo kweli linatisha ila kuna rumors kwamba hiyo ni Photoshop sababu ni picture ya siku nyingi.View attachment 385393 je kwa hili tatizo lilimpata huyu jamaa unaweza kututhibishia vipi kwamba mungu yupo?
That's my faith and i got foundations on it.Why is Christianity "good faith"?