Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
Jua liko wapi?Wewe umejuaje hili wakati na wewe ni mfinyangwa??It means akili zetu zote ziko limited kwa point yako..
Binadamu ni neno lililotoholewa kutoka kwenye dini😂😂😂😂.... Dah, Yaa Bin Adam
Uliumbwa au una amini asili ya chimpanzeeNilizaliwa mkuu
Naamini vitu vilivyothibitishwa na SayansiUliumbwa au una amini asili ya chimpanzee
Kama sifa ipi unaona ilikuwa ni chumvi?Mungu yupo ila sifa tulizoambiwa anazo zilitiwa chumvi
Hiyo ndiyo logical consistency?Nataka kuacha pombe kabisa, lakini nitakunywa kila wikiend.
Nataka kupunguza pombe, hivyo nitapunguza mara chache tu.
hahahaha mkuu..Naamini vitu vilivyothibitishwa na Sayansi
Sayansi haijathibitisha kuwa tumetokana na chimpanzees, ila inataja hiyo kama moja ya theories zinazoelezea asili ya binadamu. Kumbuka kwenye Sayansi ipo hadi hiyo stori ya "Adamu na Hawa", inaitwa Religious theory. Lakini zote hazijathibitishwa and the real answer remains unknown
Ninaamini katika evolution kwa sababu ina ushahidi, ni kweli tuna evolve kadri miaka inavyoenda, lakini siwezi kujua ukianza kurudi nyuma mamilioni ya miaka binadamu alikuwa katika hali gani, sijui kama alikuwa chimpanzee au la
And just because sijui, haimaanishi napaswa kutunga story to cover it up
Kwa mnao mwamini , hapo umeiweka vizuri sana , umejibu kitaalamu sna👏Mungu yupo na kwa sisi tunao muamini ametenda mambo makubwa sana maishani mwetu
Tatizo mnamwamini Mungu wa Izarel au Mungu Allah wa Mudi wakati nyie sio waisrael Wala waarabu. Mtamtafuta sana na hayltakionyesha ng'o. Cha muhimu tafuta Mungu wa mazingira yako ya asili utamuona Tena wapo wengi tuu.Huu ndio ukweli, haya mengine ni umbea tu wa binadamu
Kama kweli Mungu yupo basi hataki tumjue, wala hataki tumuabudu na hataki tufuate sheria zake.
Angekuwa anataka tumjue angejionesha au aongeonesha ishara kuwa yupo
Angekuwa anataka tumuabudu angetuambia sisi direct, kila kizazi angekiambia kwa wakati wake, tena sasahivi kuna teknolojia habari zake zingesambaa jwa kasi among people. Kuliko kutegemea eti watu wataamini uwepo wake kupitia story za vizazi ambavyo hatuna hata uhakika kama vilikuwepo
Angekuwa anataka tumuabudu angetuelekeza mwenyewe. Leo kuna Ukristo, uislamu, Buddha, Uhindu na bado kuna atheist ambao hawaamini, na Mungu anaonekana hata hajali. Maana angekuwa anajali angekuja kutuambia namna sahihi ya kumuabudu ni ipi, na angekuja kuwasihi wasioabudu waanze kumuabudu
Lakini yupo kimya miaka yote hii, maana yake hataki usumbufu. Tupunguze umbea na kujipendekeza
Kuliko kuhangaika kutafuta Mungu wa asili si bora tu niendelee kuwaza mambo mengineTatizo mnamwamini Mungu wa Izarel au Mungu Allah wa Mudi wakati nyie sio waisrael Wala waarabu. Mtamtafuta sana na hayltakionyesha ng'o. Cha muhimu tafuta Mungu wa mazingira yako ya asili utamuona Tena wapo wengi tuu.
Dah😂. Sasa akija shetani utawezaje kutambua broTatizo mnamwamini Mungu wa Izarel au Mungu Allah wa Mudi wakati nyie sio waisrael Wala waarabu. Mtamtafuta sana na hayltakionyesha ng'o. Cha muhimu tafuta Mungu wa mazingira yako ya asili utamuona Tena wapo wengi tuu.
Una hoja kidogo, lakini 98.1% ya ulichokiandika ni Nonsense.Huu ndio ukweli, haya mengine ni umbea tu wa binadamu
Kama kweli Mungu yupo basi hataki tumjue, wala hataki tumuabudu na hataki tufuate sheria zake.
Angekuwa anataka tumjue angejionesha au aongeonesha ishara kuwa yupo
Angekuwa anataka tumuabudu angetuambia sisi direct, kila kizazi angekiambia kwa wakati wake, tena sasahivi kuna teknolojia habari zake zingesambaa jwa kasi among people. Kuliko kutegemea eti watu wataamini uwepo wake kupitia story za vizazi ambavyo hatuna hata uhakika kama vilikuwepo
Angekuwa anataka tumuabudu angetuelekeza mwenyewe. Leo kuna Ukristo, uislamu, Buddha, Uhindu na bado kuna atheist ambao hawaamini, na Mungu anaonekana hata hajali. Maana angekuwa anajali angekuja kutuambia namna sahihi ya kumuabudu ni ipi, na angekuja kuwasihi wasioabudu waanze kumuabudu
Lakini yupo kimya miaka yote hii, maana yake hataki usumbufu. Tupunguze umbea na kujipendekeza
Kinachomake sense ni kuwa yupo na kuna mambo ameyaacha kwetu kama mystery kuhusu kumjua 100%Huwezi kujiamulia tu 98% ni nonsense bila kuongea kinachomake sense