Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Mwaka 2015 wanachadema waliingizwa mkenge wa hali ya juu na walikuja kushutuka baada ya kuwa wameshatumiwa na wanasiasa wajanja. Mpaka leo wapowapo tu kama vile hawana dira.
Mwaka 2020 baada ya kuona chama chake anachomiliki ndugu Mbowe kuwa kitakosa ruzuku alifanya makaratee. Sasa anata ruzuku ya mil 107 na ushee. Tatizo ni kuwa tofauti na mwaka 2015 makaratee ya mwaka 2020 yamewauzi wanaCdm lakini hawana cha kumfanya zaidi ya kulialia na kulalama.
Ushauri wangu ni kuwa wawe wapole kama walivyokuwa wapole mwaka 2015