Kama mwamuzi akila milioni 5 halafu akafungiwa miezi mitatu atakuwa na hasara yoyote?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Nazungumzia mwamuzi wa mechi ya Kabwili FCna wengine wanaopanga kuua move za timu zinapokwenda kufunga bila sababu yoyote.
Je posho yao inafikia hizo pesa?
 
Watu wakilalamikia maamuzi wanapigwa faini ila waamuzi wakivurunda wanafungiwa lakini hawatozwi faini kwa mtindo huu lazima wataendelea kuchukua rushwa
 
Simba mwanzo alibebwa sana mfano game na geita ila mlikuwa kimya.....je simba kubebwa tena kubebwa goli la wazu linakataliwa ni sawa?

Tulieni dawa iwaingie vizuri. Yani zile tuta game karibu 3 za mwanzo alizopewa Simba, hamkuona ni kubebwa ila hizo move uchwara ndio mnaona Yanga wanabebwa?

Alafu kama anabebwa mbona game 2 za mwisho moja alikufunga 1 umedraw tena kwa kudefence....mkubali Yanga wamebadilika na wanacheza vizuri.....

Galaxy waliwafunga sababu mnaishi katika historia ya msimu uliopita bila kujua quality yenu ndogo
 
Nazungumzia mwamuzi wa mechi ya Kabwili FCna wengine wanaopanga kuua move za timu zinapokwenda kufunga bila sababu yoyote.
Je posho yao inafikia hizo pesa?

Wewe utakuwa mswahili,ukishavua samaki leo huoni sababu ya kurudi ziwani kesho hadi samaki wote waishe tena kwa kula.
 
Japo mimi ni simba ila umeongea ukweli mtu...ata ukiangali timu yetu inavyoshambulia ni kama kuku aliekatwa kichwa hatuna 9 wala 10 bwala anagoli 0 assist 0 afu ndio kiungo wetu tegemezi
 
Kabwili FC huwa hamuangalii game za Simba.Mnachoangalia ni replay za vipande vifupi vinavyotengenezwa kwa ajili ya kuwa brainwash.Mnabaki mnadanganyana tu kuwa Simba imekwisha,lakini mjue bado tupo games za kimataifa.Ubingwa wenu ni kuifunga tu Simba,mechi zilizobaki mnatafuta kwa hisani ya GSM.
Wapinzani wanawalegezea kwa nini msipige pasi? Hebu jaribuni kupishana na mnyama muone mtakavyofumuliwa
 
Japo mimi ni simba ila umeongea ukweli mtu...ata ukiangali timu yetu inavyoshambulia ni kama kuku aliekatwa kichwa hatuna 9 wala 10 bwala anagoli 0 assist 0 afu ndio kiungo wetu tegemezi

Hakuna Simba mwenye kufikiria kwa style hii wewe ni pure Utopolo.Simba gani hajui hata kutamka jina la Bwalya?
 
Uto,umekula kweli leo ?
 
Umeongea kishabiki sana kijana!
Ktk maisha ya kawaida kama huna uwezo wa kujikosoa basi kubali kukosolewa

Nakwambia ukweli kama simba wote mna akili hii mwaka huu utakuwa mgumu sana kwenu
 
Hakuna Simba mwenye kufikiria kwa style hii wewe ni pure Utopolo.Simba gani hajui hata kutamka jina la Bwalya?
Hahahah!ili mtu azidi kuharibu mambo lazima azidi kuchanganyikiwa.
Simba mnapoteana,mmoja wenu akisema ukweli Kuhusu timu yenu kuwa mbovu mnamwona ni yanga!!!
 
Japo mimi ni simba ila umeongea ukweli mtu...ata ukiangali timu yetu inavyoshambulia ni kama kuku aliekatwa kichwa hatuna 9 wala 10 bwala anagoli 0 assist 0 afu ndio kiungo wetu tegemezi
kwa hiyo ukisema wewe Utopolo itaonekana huna akili?
 
Huyo mnyama msimu huu tunecheza nae game 2...moja tumempiga moja mnyama ametoa sare nasisi....una kipi kingine cha kusema kuhusu hili
 
Japo mimi ni simba ila umeongea ukweli mtu...ata ukiangali timu yetu inavyoshambulia ni kama kuku aliekatwa kichwa hatuna 9 wala 10 bwala anagoli 0 assist 0 afu ndio kiungo wetu tegemezi
Bwalya amefunga goli mbili na assist mbili kwenye ligi kuu.

Kwenye CAF champions League ana goli moja.

Kwenye Confederation ndiyo hana goli wala assist.
 
Nazungumzia mwamuzi wa mechi ya Kabwili FCna wengine wanaopanga kuua move za timu zinapokwenda kufunga bila sababu yoyote.
Je posho yao inafikia hizo pesa?
Hata mie nimeshangaa adhabu ya kifala kabisa ile miezi mitatu mie nilijua atakula umeme miaka mitatu ili wengine waogope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…