Kama mwamuzi akila milioni 5 halafu akafungiwa miezi mitatu atakuwa na hasara yoyote?

Kama mwamuzi akila milioni 5 halafu akafungiwa miezi mitatu atakuwa na hasara yoyote?

Nazungumzia mwamuzi wa mechi ya Kabwili FCna wengine wanaopanga kuua move za timu zinapokwenda kufunga bila sababu yoyote.
Je posho yao inafikia hizo pesa?
Mpira usha washinda uwanjani mmehamia kwenye lawama
 
Simba mwanzo alibebwa sana mfano game na geita ila mlikuwa kimya.....je simba kubebwa tena kubebwa goli la wazu linakataliwa ni sawa?

Tulieni dawa iwaingie vizuri. Yani zile tuta game karibu 3 za mwanzo alizopewa Simba, hamkuona ni kubebwa ila hizo move uchwara ndio mnaona Yanga wanabebwa?

Alafu kama anabebwa mbona game 2 za mwisho moja alikufunga 1 umedraw tena kwa kudefence....mkubali Yanga wamebadilika na wanacheza vizuri.....

Galaxy waliwafunga sababu mnaishi katika historia ya msimu uliopita bila kujua quality yenu ndogo
Game ya Simba vs Geita referee umeona ameadhibiwa?
Mechi ya Namungo vs Yanga refa kafungiwa miezi mitatu
 
Back
Top Bottom