Simba mwanzo alibebwa sana mfano game na geita ila mlikuwa kimya.....je simba kubebwa tena kubebwa goli la wazu linakataliwa ni sawa?
Tulieni dawa iwaingie vizuri. Yani zile tuta game karibu 3 za mwanzo alizopewa Simba, hamkuona ni kubebwa ila hizo move uchwara ndio mnaona Yanga wanabebwa?
Alafu kama anabebwa mbona game 2 za mwisho moja alikufunga 1 umedraw tena kwa kudefence....mkubali Yanga wamebadilika na wanacheza vizuri.....
Galaxy waliwafunga sababu mnaishi katika historia ya msimu uliopita bila kujua quality yenu ndogo