Infinite_Kiumeni
JF-Expert Member
- Jan 23, 2023
- 382
- 687
Usianze kiurafiki alafu baadaye ndo mbadilike muwe wapenzi. Usifiche malengo yako kwa mwanamke aliyekuvutia. Lakini umwoneshe taratibu kama unamuhitaji. Sio ubwage kila kitu mara ya kwanza. Atakuzungusha ukifanya hivyo. Ataona hana cha kuhangaikia. Mwoneshe unamtaka kimapenzi hata bila kumwambia. Ujiamini katika ulichonacho na uwezo wako.
Jinsi ya kumwonesha nia yako tangu mapema ni kwa; Kushikana, Kumchombeza, Kutaniana na kufurahi pamoja naye, na, Kuongea naye vitu tofauti. (Mada 4 Muhimu Za Kuongea Na Mwanamke Ili Kujuana Zaidi.).
Pia, kwa kuwa kiongozi wa kila mnachofanya au mnapoenda.
Lakini usiongelee kuhusu maisha yenu ya baadae haraka. Mwache aongelee ye mwenyewe. Mwache yeye ndo aulize kuhusu hilo. Mana unapoongelea maisha ya mbele ndivyo unapunguza uwezekano wa kuwa pamoja kwenye hayo maisha ya mbele. Utaona kama unamuweka kipaumbele sana. Hivyo, mwache ajitengenezee picha ye mwenyewe.
Utamtengenezea picha ya wewe kimapenzi pamoja naye kichwani kwake. Atakua anakuwaza na hutopata shida kujenga mahusiano naye. Atakufikiria wewe zaidi kimapenzi. Ila akikataa kuwa nawe usifadhaike na using’ang’anie usipotakiwa. Mwache aende na utafute anayekufaa na ambaye atakukubali ulivyo.