P PerKnot Member Joined Jan 15, 2018 Posts 69 Reaction score 87 Jun 12, 2023 #1 Naomba kutoa taarifa ya wwzalendo form six waliochelewa kuripoti kambini ,wanarudishwa .Hivyo kama mzazi na mlezi fatilia mwanao kama ameingia au la ,kwaajili ya usalama wake. Nawasilisha
Naomba kutoa taarifa ya wwzalendo form six waliochelewa kuripoti kambini ,wanarudishwa .Hivyo kama mzazi na mlezi fatilia mwanao kama ameingia au la ,kwaajili ya usalama wake. Nawasilisha
S Skudu makudubela JF-Expert Member Joined May 20, 2023 Posts 561 Reaction score 1,112 Jun 12, 2023 #2 Siti ya mbele upande wa dereva #ACHENI KUWABANIA WATOTO MNAWACHUNGA KAMA MBUZI KWANI WAO AKILI HAWANA?
Siti ya mbele upande wa dereva #ACHENI KUWABANIA WATOTO MNAWACHUNGA KAMA MBUZI KWANI WAO AKILI HAWANA?
Juuchini JF-Expert Member Joined Dec 10, 2018 Posts 1,644 Reaction score 2,300 Jun 12, 2023 #3 Jeshini sina uhakika kama wanarudisha watu