Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
uzuri ni kwamba serikali sikivu ya CCM, chini ya Rais na kipenzi cha wananchi Tanzania, ambae pia ni mwenyekiti wa CCM Taifa, akishirikiana na wabunge na mawaziri wa CCM wameitekeleza kwa mafanikio makubwa sana ilani ya uchaguzi ya CCM ambayo kwa kiasi kikubwa imewaletea ahueni kubwa mno waTanzania.Hello!
This is Africa.
Twende kwenye mada
Ikiwa mwanasiasa atakupa fedha, huduma au kukufanyia jambo lolote kipindi cha uchaguzi usipaniki.
Maana yake ni hii; Machoni pake wewe ni tahira. Don't panic.
Yawezekana usiwe tahira kama anavyokuchukulia lakini yeye binafsi anakuhesabu u tahira.
Kama akikuletea maji kipindi cha uchaguzi huku umesotea maji kipindi kirefu kakuona tahira.
Kama hajakupandishia mshahara kipindi kirefu halafu akakupandishia mshahara kipindi cha uchaguzi relax usipaniki wewe ni tahira mbele zake .
,kura ni Siri yangu Wacha anipe nitapokeaHello!