Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hello!
This is Africa.
Twende kwenye mada
Ikiwa mwanasiasa atakupa fedha, huduma au kukufanyia jambo lolote kipindi cha uchaguzi usipaniki.
Maana yake ni hii; Machoni pake wewe ni tahira. Don't panic.
Yawezekana usiwe tahira kama anavyokuchukulia lakini yeye binafsi anakuhesabu u tahira.
Kama akikuletea maji kipindi cha uchaguzi huku umesotea maji kipindi kirefu kakuona tahira.
Kama hajakupandishia mshahara kipindi kirefu halafu akakupandishia mshahara kipindi cha uchaguzi relax usipaniki wewe ni tahira mbele zake .