Kama mwenye hekima alikuwa na wake 700 na michepuko 300
Je ,wewe mwenye mke mmoja ni nani ?
Je ? wewe ni mtakatifu sana kuliko mwenye Hekima
Au wewe ni mpumbavu?
Naombeni majibu ?
Mke wa mchungaji wa Marekani, Lydia Ford, amewashangaza waumini baada ya kumtambulisha Shakayla Ford kama mke wa pili wa mumewe, Prophet Israel Ford, katika ibada iliyofanyika Oktoba 25, 2026, katika kanisa la LifeWorks Church, Ohio.
Lydia amesema familia yao imekuwa katika ndoa ya wake wengi kwa takribani miaka mitatu. Shakayla, ambaye pia ni mhudumu wa kanisa hilo, amesema anaunga mkono mpangilio huo na kuuona kuwa sehemu ya mapenzi ya Mungu.
Mchungaji Israel Ford ametetea uamuzi huo akidai kuwa mafundisho yanayosisitiza mwanaume kuwa na mke mmoja pekee si sahihi kibiblia. Tukio hilo limeibua mjadala kuhusu tafsiri ya Biblia na ndoa katika Ukristo.
Je Wanaume wa Kikristo nao waruhusiwe kuoa wake wengi ili kupunguza michepuko?
....................................................
PASTOR’S WIFE INTRODUCES HER CO-WIFE IN CHURCH!
A church service in Ohio, USA, has sparked debate after Lydia Ford publicly introduced Shakayla Ford as the second wife of her husband, Prophet Israel Ford.
Reports say the family has been practising polygamy for about three years. The unusual introduction has triggered online discussions about marriage, faith and the interpretation of biblical teachings.
What’s your take on this? Is polygamy acceptable in Christianity?
#LeoTV #usaweddingwestern #ChurchNews #Christianity #TrendingNews