Kama mwenye hekima alikuwa na wake 700 na michepuko 300

Mbona hausemi kua mwisho aliona kuwa ni ubatili!!?

Yaani ni sawa na kujilisha upepo!!??
 
Mbona hausemi kua mwisho aliona kuwa ni ubatili!!?

Yaani ni sawa na kujilisha upepo!!??
Alisema kila kitu ni ubatili

Kwa hiyo ata kuwa na mke mmoja pia nayo ni ubatili kwa sababu utakosa taste nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…