Kama Mwenyezi Mungu aliyetuumba ana upinzani(shetani) sisi binadamu nani tusiwe na upinzani-CHADEMA maamuzi yenu ni sahihi kabisa!

Kama Mwenyezi Mungu aliyetuumba ana upinzani(shetani) sisi binadamu nani tusiwe na upinzani-CHADEMA maamuzi yenu ni sahihi kabisa!

Econometrician

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
16,879
Reaction score
31,253
Uongozi wa CCM hasa mwnyekiti wwtu anayebariki kila wazo ndani ya chama-upinzani unafaida nyingi kuliko hasara.

Hata raisi wetu mpendwa kuwa katika nyazifa hiyo haikuwa bahati mbaya ni kutokana na upinzani uliokuwepo ndani ya chama uliofanya mapaungufu ya wenzake kuonekana wazi wazi mbele ya jamii na badaye walionekana hawana maana na kila mtu aliomba apatikane mbadala.

Raisi kwa namna moja au nyingine kuna mambo fulani umefanya vizuri ambayo yanaweza kufanywa ukumbukwe na watanzania.usitoe nafasi kwenye mambo madogo yakuharibie-kuna msemo unasema baya moja linafuta mazuri 10.
Duniani kote tunafahamu mtawala hawezi mpenda mpinzani wake ambaye ni adui namba moja but tofauti inakuja pale tu namna unavyo dili nao,uki deal nao kiakiri ni ngumu hadhira kufahamu lakini ukienda pasipo mipango ni rahisi kuacha legacy mbaya miongoni wa watu.

Mungu si athumani kama uliona vile swala la katiba ukaliweka kwapani-hii ina maana mpinzani unaweza kumthibiti utakavyo kwa kupitia upande wa pili (serikalini) maana chaguzi zote zinasimamiwa na taasisi za serikali.hapa unauwezo wa kupanga unataka wenyeviti kutoka chama pinzani wangapi kwa kila jimbo- na tokeo likitoka kila mtu ataona sawa.

Sasa hili swala la kuanza lafu zisizo na maana hatua za awali kabisa sio nzuri na hazina afya kwa Taifa.
Lazima tukumbuke hapa duniani kiongozi yoyote hamna anachokacha zaidi ya legacy!
 
Maamuzi ni sahihi kabisa! Very fine1 lakini yana effect gani?
 
Hongera kwao kwa kutoshiriki kwenye Uchafuzi wa Mitaa 2019
Nalog off
 
Na vyama vingine vya upinzani visijikie aibu kuwaunga mkono Chadema! Na vyenyewe visusie tu huo uchaguzi. Sisi wengine hata kujiandikisha tu kwenyewe hatukujiandikisha!

Uchaguzi ulishabakwa kitambo.
 
Na vyama vingine vya upinzani visijikie aibu kuwaunga mkono Chadema! Na vyenyewe visusie tu huo uchaguzi. Sisi wengine hata kujiandikisha tu kwenyewe hatukujiandikisha!

Uchaguzi ulishabakwa kitambo.
Lipumba CCM B yeye yupo kama kawaida kuanzia sasa Dunia nzima wameanza kujua kuwa Tanzania hakuna Demokrasia tena ni nchi ya kidikteta
 
Lipumba CCM B yeye yupo kama kawaida kuanzia sasa Dunia nzima wameanza kujua kuwa Tanzania hakuna Demokrasia tena ni nchi ya kidikteta
Nitafanya sherehe kidogo hawa viongozi wetu wakiwekewa vikwazo na mabeberu. Hata nchi inapaswa kuwekewa vikwazo vya kununua silaha.
 
Back
Top Bottom