Kama Mwigulu asingesoma na kuwa mwanasiasa angukua tapeli

Kama Mwigulu asingesoma na kuwa mwanasiasa angukua tapeli

Haki ya nani nyumbu mtakoma miaka hii.......Samia amewashika pabaya!!
 
Nimejiuliza sana yafuatayo:-
Hivi anatudharau watanzania anatuona hatuna akili?
Amelewa madaraka?
Yupo kwenye kipindi kigumu kisaikolojia anapitia hali fulani mbaya?
Waliomteua walikosa mtu mwingine katika watanzania milioni 60 na kitu?
Anatafakari kwa kina kabla ya kuongea?
Anafuatilia taarifa muhimu zinazo tolewa na vyombo vya dola au za taasisi mbalimbali za serikali kabla hajaongea majukwaani?
Atapoteza nini akiacha mambo mengine upepo wake upite kwanza?

Kwanini anakimbilia kuongelea mambo makubwa na ya hatari au sensitive kwa jamii bila kuwa na ujuzi wa mawasiliano kwa umma?
Angewaacha wenye taaluma ya usemaji wawatetee, yeye kila akifungua mdomo anaharibu hali ya hewa.
 
. Huyu bwana haoni haya kudanganya.
  • Anaropoka chochote
  • anashusha hadhi ya waziri mkuu
  • hizo cheap propaganda amwachie kihongosi
Jamaa nadhani ule mustachi unamfanya awe hamnazo. Anajua watu wapo kipindi cha Nyerere bado.
Jamaa huwa ni muongo sana na uongo wake uko dhahili kabisa. kuongea kwenyewe hajuia ni avurugavuruga tu ilimradi liende ionekane nae kazungumzia swala flani na katoa ufafanuzi unaoeleweka kumbe kaharibu. jamaa bora awe anakaa kimya tu!
 
Back
Top Bottom