Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Well, okay.
Tell me more about him.
Huyo mchumba ni kada wa ccm?Karibu mzazi wa mwanamali na mzazi wa mwanamali mtarajiwa.
πππππππππ1. Je, huyo mwanaume ana gari aina ya Bugatti, Lamborghini au Tesla?
2. Anamiliki angalao ndege 3 aina ya Bomberdia B747, B738 au B737?
3. Anamiliki angalau visima 5 vya mafuta huko Uarabuni?
4. Anamiliki hisa ngapi DP World?
5. Anamiliki kifaa chenye uwezo wa kwenda mwezini na kurudi siku hiyo hiyo?
6. Mara ya mwisho huyo mwanaume anataka kukuoa kufanya kikao Cha kibiashara na Puttin, Trump na Elon Musk ilikuwa lini?
7. Ni mrefu, mweusi na ana mwanya?
Comment ya kikomavu sanaaπͺπΏπͺπΏπͺπΏAtamwambia mama yake kisha mama yake ndo atamueleza mume wake baada ya kujiridhisha hiyo taarifa ina hadhi ya kumfikia baba. Hii hupunguza aibu ndogo ndogo zinazoletwa na mihemko ya watoto wa kike baada ya kudanganyika huko mtaani akadhani ni mahusiano serious, kina mama wanajua mahusiano ya level gani yana hadhi ya kurasimishwa na kuwasilishwa kwa mzee wa boma.
Wanaweza kupima then mwanao ndio akakutwa anao.La kwanza amepima? Maana afya njema?
Ajira au kipato, pa kuishi?
Dini (muhimu) Kabila muhimu sana
HIyo tisa mkuu mi wangu aliniambia nimepata mchumba au hutaki niwe na mchumba !Karibu mzazi wa mwanamali na mzazi wa mwanamali mtarajiwa.
Ni sawa pia kwani huwa yanatokea na nimeisha wahi kushuhudia hiloWanaweza kupima then mwanao ndio akakutwa anao.
Pamoja mkuu. Shukraan.Comment ya kikomavu sanaaπͺπΏπͺπΏπͺπΏ
Kwa nini mkuu? Hutaki kula pilau la mawese π€£Kama ni muha usimlete hapa
Unauliza kazi ili ujue namna ya kumpiga kwenye mahari? Kabila halina nafasi kwa sasa bora hata ungeuliza diniMaswali muhimu ni haya,
1. Ni kabila gani
2. Anafanya kazi gani
3. Mlikutana wapi
4. Mmefahamiana Kwa muda gani
Kama ni mchaga usimlete hapa.
Mchumbaaaaaa, ebu niambie ni mwanamme wa Dar au?Karibu mzazi wa mwanamali na mzazi wa mwanamali mtarajiwa.