Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Unakatandika na supu inaliwa kama kawaida,Mkojo hauna tatizo!
Kitimoto ina miguu ya kuku
Mtoto haadhibiwi kwasababu ya kilichomo.sasa ndio umuue mtoto kwa ajili ya miguu ya kuku? sikujua hilo sufuria lina hicho malala nje
mm nipo kwa Warangi huku hakuna mguu una kwato mbili ila Kitimoto
acha kurukia Treni kwa mbele km MkokoteniAnaadhibiwa kwa kosa la kukojolea.
Nyie ndo mnaleaga watoto kama mayai. Wanakuwa wajinga wajinga mwisho wa siku wanakuwa vibaka na wanawadhuru nyie wenyewe.
Hahahaa! Mtani nimevuta picha jinsi wababa mkiwakamata watoto hasa wanapoingia kwenye 18 zenu mnavyokosaga huruma.
Hapo katoto kangechakaa kwa kichapo japo ndio ingekuwa dawa
Kuchapa sikatai Mada jamani ni KUUA,Usipochapa kidogo hataelewa achapwe hata kidogo skuingine akitaka kufanya atakumbuka basi hatafanya
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Unakatandika na supu inaliwa kama kawaida,
ila katoto unakalisha makande ya mahindi yasiyokobolewa wiki nzima.
Hadi kakome.
Mmh wewe?Namuweka super glue atakua anakojolea ndani Kwa ndani[emoji12] [emoji3] , ila huyo Dogo hajiheshimu hata kidogo yaani, mama nimejitahidi kununua kitoweo anafanyia mambo yake kwelii ntadundaa
[emoji16] [emoji16] [emoji16] aiseHapo kuna wadada wanalinganisha hiyo dudu ya mtoto
Nini mkuu?Mmh wewe?
Wewe umejuaje?Hapo kuna wadada wanalinganisha hiyo dudu ya mtoto